Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,855
- 27,254
Heshima kwenu wanajamvi.
Kanchi kadogo (Rwanda) na rasilimali chache ukilinganisha na nchi kubwa (Tanzania) yenye rasilimali nyingi kamatushinda katika sekta ya usafiri wa anga kwa kununua ndee mbili mpya aina ya Airbus A300.
Tanzania chini ya utawala wa CCM wa zaidi ya miaka 50 imeshindwa kumiliki hata ndege moja mpya badala yake imekimbilia ndege za kukodisha kwa bei mbaya.
Tunahitaji mabadiliko CCM imeshindwa kuongoza inastahili kuwekwa kando.
RwandAir to acquire EA's first Airbus A330 - The New Times | Rwanda
Smart Country with visionary chief executive officers in her institutions!
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
Usisahau na dar-kigoma bosi
Yaani hadi Rwanda wametupita.... inadibi CCM itoke tu, hakuna jinsi
Hii nchi yetu imerogwa nadhani mwaka huu tusifanye makosa
Lowassa atakuletea Boeing 777 na Dream Jetliner. Pipozi pawaaaaaa!!!Afu napata hasira nikimwona mtu anaishabikia ccm nataman nimmeze
Yaani hii mijitu inatia sana hasiraAfu napata hasira nikimwona mtu anaishabikia ccm nataman nimmeze
Hii nchi tunatabia mbaya Sana sijui nn kinatupofosha. Ni ukweli usiopingika watanzani tuna matamanio ya vitu vizuri. Mf ukiona mtanzania mwenzako kafanikiwa kwenye mambo lake labda biashara au ajira unatamani kuiga ili ufike pale. Kitu Ch ajabu akili hiyo hiyo tunashindwa kuitumia tunapokua viongozi natoka ngazi mbalimbali kuiga mafanikio ya majirani zetu katika nyanja mbalimbali. Hivi kweli Rwanda wakutuzidi kwenye hili na mengine nchi ile Ni mama mkoa wa Mwanza kwa ukubwa km sikosei Ni kilomita za mraba 24,000 hivi. Hata mtasema nchi yetu kubwa sawa hata bado km watu wakimkakati tungeweka malenga kila miaka mitano tunaweka mkoa Fulani vizuri kwenye nyanja zote hilo halipo Dodoma imetushinda. Cha ajabu tunaongeza mikoa na wilaya zenye miundo mbinu hafifu hii iliyopo Tu bado Sana. Nachoka sanaHeko Rwanda. Hawa watu na wakenya ndio wanajitambua. Siis tunabaki kuchagua akili ndogo kutawala akili kubwa.
Tutasubiri sana.
Mkuu masahihisho; Ni airbus 330 sio airbus 300
airbus 330 ni ndege kubwa ,kams Rwanda watainunua basi pongezi Sana kwa brother Kagame.
Tanzania sijui lini nchi itaambulia angalau kununua kadege kapya japo kamoja
inatia huzuni tunabaki kudhalilishwa na ka nchi kadogo kama Rwanda.
Poa tutachagua wenyewe umaskini au utajiri hapo oktoba 25.