Kwa vile Chadema kimejitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani (a Government-in-Waiting), na kimetokea kuaminiwa na watanzania wengi, kitumie kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa 2015 kujijenga kimuundo zaidi ndani na nje ya chama. Nitazungumzia muundo wa nje ya chama kwa vile muundo wa ndani umekamilika.
Tunajua ruzuku ya chama itaongezeka, ni wito wangu kwa viongozi kwa vile watanzania wameanza kuwaamini(kwa kuwapa kura za kutosha ofcourse) badala ya sehemu kubwa ya ruzuku kutumika kwenye mambo ya administrations itumike kujenga miundombinu ya chama.
Chadema inaweza kuanza kwa kupata ofisi za kudumu za mikoa, inawezekana kabisa kutenga kiasi fulani cha ruzuku kila baada ya miezi miwili na kujenga au kukodi ofisi moja ya mkoa. Wakifanya hivi kwa muda wa miaka miwili wanaweza kuwa wamekamilisha mikoa yote ya Tanzania.
Chadema ni chama cha kudumu viongozi wake wawe na mitazamo (vision) ya muda mrefu hata kuanza kufikiria kujenga makao makuu ya kudumu, ofisi wanazotumia leo zinaweza kuwa ofisi ndogo za chama au ofisi za wilaya ya Kinondoni, mbona CUF waliweza kununua jengo la ghorofa moja/mbili kwa ruzuku ya muda mfupi. Inawezekana kinachotakiwa ni commitment.
Vilevile wajaribu kuzipatia ofisi za wilaya uwezo kama usafiri wa uhakika na mawasiliano kuwezesha smooth running kati ya makao makuu na wilayani waliko wapiga kura. Kama tumeamua kuijenga nchi kupitia Chadema inawezekana tuache tamaa.
Nawasilisha.
Luteni is a True Revolutionist

kwa vile chadema kimejitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani (a government-in-waiting), na kimetokea kuaminiwa na watanzania wengi, kitumie kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa 2015 kujijenga kimuundo zaidi ndani na nje ya chama. Nitazungumzia muundo wa nje ya chama kwa vile muundo wa ndani umekamilika.
Tunajua ruzuku ya chama itaongezeka, ni wito wangu kwa viongozi kwa vile watanzania wameanza kuwaamini(kwa kuwapa kura za kutosha ofcourse) badala ya sehemu kubwa ya ruzuku kutumika kwenye mambo ya administrations itumike kujenga miundombinu ya chama.
Chadema inaweza kuanza kwa kupata ofisi za kudumu za mikoa, inawezekana kabisa kutenga kiasi fulani cha ruzuku kila baada ya miezi miwili na kujenga au kukodi ofisi moja ya mkoa. Wakifanya hivi kwa muda wa miaka miwili wanaweza kuwa wamekamilisha mikoa yote ya tanzania.
Chadema ni chama cha kudumu viongozi wake wawe na mitazamo (vision) ya muda mrefu hata kuanza kufikiria kujenga makao makuu ya kudumu, ofisi wanazotumia leo zinaweza kuwa ofisi ndogo za chama au ofisi za wilaya ya kinondoni, mbona cuf waliweza kununua jengo la ghorofa moja/mbili kwa ruzuku ya muda mfupi. Inawezekana kinachotakiwa ni commitment.
Vilevile wajaribu kuzipatia ofisi za wilaya uwezo kama usafiri wa uhakika na mawasiliano kuwezesha smooth running kati ya makao makuu na wilayani waliko wapiga kura. Kama tumeamua kuijenga nchi kupitia chadema inawezekana tuache tamaa.
Nawasilisha.
luteni is a true revolutionist
Kwa vile Chadema kimejitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani (a Government-in-Waiting), na kimetokea kuaminiwa na watanzania wengi, kitumie kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa 2015 kujijenga kimuundo zaidi ndani na nje ya chama. Nitazungumzia muundo wa nje ya chama kwa vile muundo wa ndani umekamilika.
Tunajua ruzuku ya chama itaongezeka, ni wito wangu kwa viongozi kwa vile watanzania wameanza kuwaamini(kwa kuwapa kura za kutosha ofcourse) badala ya sehemu kubwa ya ruzuku kutumika kwenye mambo ya administrations itumike kujenga miundombinu ya chama.
Chadema inaweza kuanza kwa kupata ofisi za kudumu za mikoa, inawezekana kabisa kutenga kiasi fulani cha ruzuku kila baada ya miezi miwili na kujenga au kukodi ofisi moja ya mkoa. Wakifanya hivi kwa muda wa miaka miwili wanaweza kuwa wamekamilisha mikoa yote ya Tanzania.
Chadema ni chama cha kudumu viongozi wake wawe na mitazamo (vision) ya muda mrefu hata kuanza kufikiria kujenga makao makuu ya kudumu, ofisi wanazotumia leo zinaweza kuwa ofisi ndogo za chama au ofisi za wilaya ya Kinondoni, mbona CUF waliweza kununua jengo la ghorofa moja/mbili kwa ruzuku ya muda mfupi. Inawezekana kinachotakiwa ni commitment.
Vilevile wajaribu kuzipatia ofisi za wilaya uwezo kama usafiri wa uhakika na mawasiliano kuwezesha smooth running kati ya makao makuu na wilayani waliko wapiga kura. Kama tumeamua kuijenga nchi kupitia Chadema inawezekana tuache tamaa.
Nawasilisha.
Luteni is a True Revolutionist
Asante Ngoninimimi nilishasema Chadema lazima washiriki chaguzi za mitaa kwa nguvu zote maana ndiko ushindi wa uchaguzi mkuu huanzia. CCM wameshinda kwa sababu walikuwa na watu huko chini wakawa wanawafatilia wale mbumbu mitaani na vijijini. Tunahitaji kuwa na viongozi kila kijiji/mtaa na angalau tuwe na wanachama. Chadema sasa hivi ni hot cake kila mtu anataka kuwa mwanachama ila hawajuwi wapate wapi maelekezo au ofisi ya chama.
Wazo la kuwa na ofsi ni lazima. Dr. Slaa nadhani ni mwanaume wa shoka jambo hili atalifanyia kazi maana ndiye mtendaji mkuu wa chama.
Napendekeza hata yawekwe mahema na wawepo mawakala wa kuandikisha wanachama, sijuiwi kama hili lina tatizo kisheria. likifanyika zoezi kama hili japo kwa muda wa miezi miwili tunaweza kupata watu wengi sana.
DCPamoja na mawazo mazuri ya kuijenga CHADEMA, bado naamini ruzuku peke yake haitoshi kukijenga chama, kwani hata CCM wanaopata mabilioni kwa mwezi haziwatoshi. Pia ukizingatia kwamba CCM wanatumia pia miundombinu nyingine ambayo ni mali ya umma kwa vile ilipatikakana wakati kikiwa ni chama dola. Kwa hiyo mimi nashauri wale wote ambao tuna moyo wa kuipenda nchi hii (HAPA SIONGELEI KUKIPENDA CHADEMA KAMA CHAMA) basi tuendeleze wimbi tulilolianzisha wakati wa uchaguzi la kukipa uwezo chama hiki ili baadaye kiweze kuwa imara sana na kushika dola ndani ya muda mfupi ujao. Kwa upande wa viongozi, wanatakiwa wasitumie imani ya wananchi vibaya. Hilo likitokea basi itatuchukua miango zaidi ya 2 kurudisha moyo wa wananchi kwa chama kingine cha upinzani. Kwani baada ya NCCR-Mageuzi ku-abuse confidence ya supporters wake, utaona kuwa imetuchukua zaidi ya miaka 10 sasa kuweza kuwavuta tena wananchi katika mkondo wa kudai na kuipigania demokrasia.