Hizo fedha hazina zinatokaje tokaje??
Hili ndilo ilibidi liwanyime usingizi ila wao wakaitisha vyombo vya habari na kutoa tamko na vielelezo,anyways ngoja tuone umakini wa vyama katika kutatua changamoto!!!!!!
Hongera sana kamati kwa kutingisha mibuyu
Ccm kudhoofika ni ndoto ndugu zangu nyie jipangeni vizuri na zile harambee zenu za mia mia la sivyo mjichimbie kaburi mapema.
EPA,DEEP GREEN na MEREMETA
Katibu wa Baraza la Wadhamini la CHADEMA Anthony Komu amesema usitishwaji wa Ruzuku kwa vyama vya siasa utakiathiri chama hicho kwa kiwango kikubwa.
Kiongozi huyo mwenye mamlaka ya kifedha ndani ya CHADEMA amesema chama hicho kinategemea asilimia 45% ya Ruzuku ya kila mwezi kulipa mishahara ya wafanyakazi na watendaji wa chama kote nchini.
Komu amesema ingawa wana vyanzo vingine vya mapato lakini havitoshi bila kutegemea Ruzuku.
Komu amesema pia usitishwaji huo wa Ruzuku utaathiri kwa kiwango kikubwa mipango ya chama hasa uimarishwaji wake katika operesheni zinazoendekea kote nchini.
Kiongozi huyo amelaani uamuzi wa Kibabe wa Kamati ya bunge kuzuia Ruzuku kwa vyama vyote huku CHADEMA wakiwa hawana kosa lolote na wakiwa wameshakabidhi mahesabu yao ofisi ya msajili wa vyama siku nyingi.
Source:Mwananchi.
Kamanda Anthony Komu usiogope, waache wazuie, TANU wakati inapigania uhuru, haikuwa ikipata ruzuku toka kwa mzungu
Hii ni hali ya kawaida, hiyo ruzuku ni sisi wananchi ndiyo tunaitoa kupitia kodi na sisi wanachama na wapenzi wa chadema kama tukihamasishwa tunaweza tukatoa mchango mzuri na wafanyakazi wa chama kote nchini wakalipwa na elimu ya ukombozi ikafika kila pembe ya nchi
Tusiogope, tunapaswa kuangalia juu ya uchaguzi 2014 and 2015
Chadema for Nation
Member
Katibu wa Baraza la Wadhamini la CHADEMA Anthony Komu amesema usitishwaji wa Ruzuku kwa vyama vya siasa utakiathiri chama hicho kwa kiwango kikubwa.
Kweli kamanda lazima tuoneshe kuwa ni uzalendo wa kweli kwa ajili ya nchi yetu.