Ruvuma vs Arusha; Ni mkoa upi ni tajiri?

Nenda mipoto poto kule hutojuta yaan, ardhi iko bombaa kwa kulima, afu imeozaaa yaan, full kuvuna mazao.
Kiongozi mipoto iko wilaya gan tyr nshaanza ziara kesho naelekea ndongosi plz km ww ni mwenyej wa mkoa huu nichek 0719629498, unpe mwanga nimeamua kufanya kilimo naona enz y madili imeptwa na wakat
 
Kiongozi mipoto iko wilaya gan tyr nshaanza ziara kesho naelekea ndongosi plz km ww ni mwenyej wa mkoa huu nichek 0719629498, unpe mwanga nimeamua kufanya kilimo naona enz y madili imeptwa na waka
 
Kiongozi mipoto iko wilaya gan tyr nshaanza ziara kesho naelekea ndongosi plz km ww ni mwenyej wa mkoa huu nichek 0719629498, unpe mwanga nimeamua kufanya kilimo naona enz y madili imeptwa na wakat
Mipoto photo iko wilayaa ya mbinga. Uwiiiiiih unaelekea ndongosi? Sasa ukifika ndongosi fanya uende hadi magwamila, afu pia nenda sehemu inaitwa maleta, mama wee huko ndo utaona faida ya kilimo, ardhi iko bwerere afu imeozwa chwaaa, afu ardhi yake ya bila mbolea, sasa ukitia mbolea wee utatafutana hapo shambani,

Mazao yake sasa, ufuta, mahindi,maharage, soya, karanga, alizeti. Woiiiiiih.
 
Maeneo hayo Kuna Barabara? Nahtaj niwe nalima nikivuna siuz wakat wa mavuno maana naskia Bei utakuta ni elf 20 gunia la mahnd, hvyo nitakuwa nabeba na gar naenda kuhfadhi nyumbn mbinga ad mwez wa tatu ama nne!
 
Na je Bei za shamba lenye por ni kias gan na linalolimwa ni Bei gan kwa mipoto photo, maleta pmj na magwamila? Samahan kwa usumbuf mkuu
 
Bara bara iko ndyo ila sio nzuri kihivyo, lakini magari yanafika huko.
 
Na je Bei za shamba lenye por ni kias gan na linalolimwa ni Bei gan kwa mipoto photo, maleta pmj na magwamila? Samahan kwa usumbuf mkuu
Mipoto poto ni mbinga, na Ndongosi ni songea vijijin, wilaya 2 tofauti.

Kwa shamba pori, bei n 100k had 120k, kwa lilio tayar n 130k hadi 170k.
 
Back
Top Bottom