Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkoa wa Ruvuma. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki.
Makao makuu ya mkoa yako Songea mjini. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu
katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,848,794; wanaume 902,298 na wanawake 946,496.
Mkoa huu una Halmashauri nane (8) katika mchanguo wa Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya
Mkoa wa Ruvuma una majimbo ya uchaguzi tisa (9) ambapo Jimbo la Songea Mjini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (286,285) likifuatiwa na Jimbo la Mbinga Vijijini (watu 285,582). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Madaba ambalo lina watu 65,215.
Majimbo ya Uchaguzi
Jimbo la Songea Mjini (Watu 286,285 ambapo wanaume ni 134,920 na wanawake 151,365)
Jimbo la Madaba (Watu 65,215, ambapo Wanaume ni 33,085 na Wanawake ni 32,130)
Jimbo la Mbinga Vijijini (Watu 285,582, ambapo Wanaume ni 141,271 na Wanawake ni 144,311)
Jimbo la Mbinga Mjini (Watu 158,896, ambapo Wanaume ni 75,882 na Wanawake ni 83,014)
Jimbo la Nyasa (Watu 191,193 , ambapo Wanaume ni 93,494 na Wanawake ni 97,699)
Jimbo la Namtumbo (Watu 271,368, ambapo Wanaume ni 132,035 na Wanawake ni 139,333)
Jimbo la Tunduru Kaskazini (Watu 225,773, ambapo Wanaume ni 110,614 na Wanawake ni 115,159)
Jimbo la Tunduru Kusini (Watu 186,281, ambapo Wanaume ni 91,054 na Wanawake ni 95,227)
Soma Pia:
- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
Kama ilivyo kwa mikoa mingine, uchaguzi wa Ruvuma unadhihirisha changamoto za uwakilishi wa kisiasa na ushindani wa kidemokrasia. Katika majimbo yote 9 yalichukuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
katika jimbo la Tunduru Kusini ambako Daimu Mpakate (CCM) alipata kura 26,982 dhidi ya Abdalah Mtutula (ACT-Wazalendo) aliyepata kura 23,968.
Katika jimbo la Madaba, Joseph Kizito Mhagama alipita bila kupingwa. Katika baadhi ya majimbo kama Peramiho na Nyasa, kulikuwa na tofauti kubwa ya kura kati ya wagombea wa CCM na wa upinzani.
Peramiho -
Jenista Mhagama (CCM) - Kura 27,479
Silvester Mapunda (CHADEMA) - Kura 3,440
Nyasa:
Eng. Stella Manyanya (CCM) - Kura 34,937
Casberth Kiwango(CHADEMA) - Kura 4,055.
Katika majimbo kama Songea Mjini na Tunduru Kusini, upinzani ulionekana kufanya vizuri zaidi ikilinganishwa na majimbo mengine, ingawa hawakufanikiwa kushinda.
Dkt. Damas Ndumbaro(CCM) - Kura 39,783
Aden Mayala(CHADEMA) - Kura 15,146
Daimu Mpakate (CCM) - Kura 26,982
Abdalah Mtutula (ACT Wazalendo) - Kura 23,968.
JANUARI
- Pre GE2025 Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!
- Pre GE2025 Baada ya Wananchi kugomea t-shirt na fedha za Kawawa, ajitokeza na kusema hizo ni fitna za Kisiasa na kuwa wanaichafua CCM
- Pre GE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi
- Pre GE2025 Ruvuma: Wananchi Watakiwa Kupuuza Maneno ya Wanasiasa Wanaodai Kutumwa na Viongozi wa CCM" kuja kugombea
- Pre GE2025 RC Ruvuma: Dkt. Ndumbaro hana deni jimbo la Songea mjini utekelezaji wa miradi ya maendeleo
- Pre GE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge
- Pre GE2025 Mbunge wa Madaba Dkt.Joseph Kizito Mhagama, atembelea kata ya Mkongotema kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
- Pre GE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali
- Pre GE2025 Mwenyekiti CCM Ruvuma: Kuna viongozi CCM wanaondolewa ondolewa kwenye nafasi zao, hiyo haikubaliki
- Pre GE2025 Mbunge wa Viti Maalum Jacqueline Ngonyani: Wanawake kuwa na kipato sio chanzo cha kumnyanyasa mumeo
- Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ruvuma awahimiza vijana kugombea nafasi za juu katika Uchaguzi Mkuu
- Meya Songea: Miaka minne bilioni 188 zatumika miradi ya maendeleo Songea
- Oddo Mwisho: Tufanyekazi kwa ushirikiano kutekelezaji Ilani ya CCM
- Wapinzani 200 akiwemo diwani wa ACT Wazalendo wahamia CCM
- Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025
- Dkt. Damas Ndumbaro: Nilishangilia nikapanda juu ya meza Nchimbi ulivyotangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais
- Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia
- Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi
- TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati
- Dkt. Nchimbi: Viongozi jibuni changamoto za wananchi, CCM ni yao
- Peter Msigwa: Wapinzani tafuteni sera, acheni kupinga kila kitu
- Balozi Dkt Nchimbi: Msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi
- John Heche anyimwa Uwanja Tunduru, alazimika kufanya Mkutano kando ya Barabara
- Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi
- Mahinyila: Wametunyima uwanja sasa tutaandamana
- Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi
-
PreGE2025 - Mikutano ya CHADEMA yazuiwa Ruvuma, ni marufuku kutamka "No Reforms, No Election"
Wakuu, Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule! ==== Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa...
www.jamiiforums.com
- Mikutano ya CHADEMA yazuiwa hakuna ruhusa ya kujadili masuala yanayohusu kampeni ya "No reforms, no election"
- DC Songea: Kuna Chama mbadala cha walimu imesababisha competition ya kisiasa zaidi, inaleta madhara utendaji kazi
- Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi
- DC Songea, Kapenjama: Uchaguzi haujaiacha Afrika salama, Uchaguzi usiharibu amani ya nchi
- Vyama 12 vya siasa Songea vyasema vitashiriki uchaguzi mkuu 2025
- ACT- Wazalendo: Tungesusia uchaguzi, CCM wangefanya sherehe, Chama pekee kinaikosesha usingizi CCM ni ACT- Wazalendo
- Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM
- Katibu wa Itikadi na siasa CCM Ruvuma, amesema nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria, hakuna wa kuzuia uchaguzi
- Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM
- Waziri Ndumbaro: Endapo chama hakitaki kushiriki uchaguzi Kuna ulazima gani wa kututangazia? Wamalizane ndani ya chama
- Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o
- Wasira: Wananchi jiandaeni Kutiki, No reforms Inaelekea Mwisho
- Mzee Wasira: Uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria
- Waziri Jenista agawa Ng'ombe 16 na Mashine 48 za kusaga na kukoboa Mahindi jimbo Peramiho,Je?hii sio rushwa ya uchaguzi
- Aliyekuwa RC Mbeya, Dkt. Juma Homera achukua fomu ya Ubunge Namtumbo
- Aliyekuwa DED Mbeya ,John John Nchimbi ajitosa Ubunge jimbo la Nyasa kupitia CCM
- Mtoto wa Komba, Dkt. George Komba achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia CCM
- Salum Mwalimu: Mimi na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo
- Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
- Serikali yakabidhi magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
- RPC Ruvuma: CCM ni kubwa huwezi ukaingia ghafla na kuishinda, sisi tunatetea wote mdogo na mkubwa
- Ado Shaibu aahidi kuwa Mbunge wa Kupigania haki na kutatua Changamoto za wananchi wa Tunduru
- Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo
- Kina Mama wagalagala chini wakimpokea Samia Mbinga
- Bodaboda Mbinga: Tunadaiwa na Rais Samia
- Wananchi Songea: Uchaguzi upo na Oktoba Tunatiki kwa Samia
- Samia: Tunaahidi na kutekeleza tofauti na vyama vingine
- Jenista Mhagama: Ruvuma hatuna mba mba mba, tutampa Samia Kura kwa Kishindo
- Wananchi Nyasa: Tunamkubali Rais Samia kwa Makubwa aliyotufanyia, Oktoba Tunatiki
- Samia: Mkituchagua tutakamilisha vituo vya Afya Nakapanya
- Samia: Tutanunua drones 5 za kufukuzia Wanyama waharibifu
- Dkt. Samia awahakikishia umeme wa uhakika Masasi