Mshangazi mdogomdogo
Member
- Sep 23, 2024
- 73
- 73
Chamsingi mkono unaenda kinywani.Hivi nyama ya MAMBa ni tamu sana?
Mnyoosha hunyooshwa.Mamba mla watu na watu wamemla mamba
Sasa sisi wavuvi tule chabo wapi?Watu wa ziwani wapunguze kuoga uchi ziwani tutakuja kuwabaka bure
Kanda ya ziwa ni hatari kwa kweliSasa sisi wavuvi tule chabo wapi?
Njaa. Nchi hii watu wana shida sana, ndiyo maana nasema kuwa kiongozi Bongo inatakiwa uwe na roho ya ukatili. Kuna watu wanamaliza miezi na miezi bila kula nyama. siyo kwamba ni vegeterian bali wameikosa.Inahitaji moyo kula nyama ya mnyama aliyekula nyama ya binadamu mwenzio siku chache tu nyuma.
Hivi nyama ya MAMBa ni tamu sana?
Mamna anaweza ku digest mpaka keratin ambayo wanyama wengine hawawezi. So probably wasingeweza kupata mabaki labda kama walimkamata muda/siku chache baada ya tukio.Walivyompata na kumuuwa hawakukuta mabaki ya marehemu tumboni kweli?
Au hawakujali muhimu ilikuwa ni kumpa displini mamba kwa kumla
Imagine Tanzania ndio nchi ya tatu kwa ng'ombe wengi halafu bado kilo ya nyama ni elfu kumi na inazidi kupanda kwa baadhi ya maeneo.Njaa. Nchi hii watu wana shida sana, ndiyo maana nasema kuwa kiongozi Bongo inatakiwa uwe na roho ya ukatili. Kuna watu wanamaliza miezi na miezi bila kula nyama. siyo kwamba na vegeterian bali wameikosa.
Wacha tupigike pengine tutazinduka.Imagine Tanzania ndio nchi ya tatu kwa ng'ombe wengi halafu bado kilo ya nyama ni elfu kumi na inazidi kupanda kwa baadhi ya maeneo.
Na hapo ukiangalia minofu inapelekwa nchi za nje hasa za uarabuni halafu wazawa tunanunua kilo kwa 10,000 yenye mifupa ya kutosha.Wacha tupigike pengine tutazinduka.