DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
RAIS WA KENYA, Dr William Samoei Ruto amethibitisha rasmi kuwa uwanja mpya wa Talanta Sports City unaojengwa eneo la Jamhuri pale Nairobi utakapokamilika utapewa jina la RAILA AMOLLO ODINGA STADIUM kwa heshima ya Nguli wa siasa za Kenya na Ziwa Victoria aliyekuwa Kiongozi wa Upinzani nchini humo.