Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,510
Ruto is a clueless president.
Amekalia kaa la MotoAnahama kiunga cha mapambano kutoka Gen Z kwenda kupigana vita na watumishi
Katukane BabaTuache ujuaji ktk taifa la wengine, tunajifanya kuwafundisha cha kufanya wakati huku Kwetu mpina anaonekana mchumia tumbo, ajira ni matatizo na hakuna suluhisho la kudumu, kodi na tozo mpya zina buniwa ktk kila muhula mpya wa bajeti nk
Pamoja na mengine kibao hakuna anayesema ktk Population ya watu zaidi ya 60m,
Leo watanzania tumekuwa mafundi wa kufundisha wengine na kupenda kuona yanatokea kwa wengine na kuendelea kuwa mabingwa wa utabiri yajayo ktk mataifa ya wengine
Wewe ukiwa mama wa mazombieKenya raha sana. Siyo hapa Tanzania kwa mazuzu na mazombie
Sekta zote hadi yeye mwenyewe 🐼Nadhani alimaanisha wabunge na mawaziri
Sisi tuanze kwa wajumbe na tupandisha juu hadi kwa wale wamajimboni kwa kiwango hicho hicho🤸♂️🤸♂️🤸♂🤸♂️🤸♂️🤗Rais Ruto amesema amesikia kilio cha vijana wa Gen Z na sasa atapunguza mishahara na posho za watumishi wa Umma Kwa 35%
Pili Siasa za Makanisani na kwenye misiba tumepiga Marufuku, amesisitiza mh Ruto
Citizen TV
Mkuu kumbe uko vizuri hivi??Ningependa kujuwa anapunguza mishahara na posho kwa watumishi wapi? Wanaopokea shilingi ngapi hadi ngapi? Je ni kwa wafanyakazi wote wa umma na wale wa kisiasa au ni baadhi ya watumishi wa umma wanaopokea mishahara mikubwa na minono? Maana kuna mwingine na wengine wanapokea mishahara mikubwa na ya kufuru ambapo hata ukipunguza inakuwa kama tone tu la mvua.wakati wengine unakuta mishahara yao tu walikuwa wanaona haitishi tangia awali.kwa hiyo ukipunguza maana yake unakuwa unaibua mgogoro mwingine na vurugu nyingine.
Kwa sababu hawa wenye vipato na mishahara ambayo inashindwa kutosheleza mahitaji yao kwa Mwezi ukiwapunguzia kwa asilimia hizo,maana yake unawakatisha tamaa,kuwavunja moyo wa kazi,kuwafanya waanze mgomo wa chinichini,kuzorotesha huduma kwa sababu hawawezi kuwa na nguvu wala morali ya kazi.
Ningemshauri afanye haya. Apunguze mishahara ya wanasiasa hususani wabunge ambao wao inasemekana wana mishahara mikubwa sana kuliko mbunge yeyote yule Barani Afrika. Wenyeviti na viongozi wa taasisi mbalimbali nao wapunguziwe mishahara. Kudhibiti masuala ya semina zisizo na ulazima na ikiwezekana zifanywe kidigitali.kudhibiti rushwa na ufisadi, kuhakikisha kila senti inayokusanywa na mamlaka ya mapato ya kenya inakwenda kwenye kapu kuu la Taifa.
Kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato,kuvutia wawekezaji na uwekezaji, utalii ili kuongeza pesa za kigeni na mapato ya ndani.
Nitaendelea baadaye kidogo kufanya uchambuzi.
Kenya ndio kuna mazombie wa kutisha kuliko TZ,bwawa la nyerere,sgr,ujenzi barabara za brt phase 2,3,4 lakini deni la taifa lipo 35% hao unaowaona wajanja uweke mradi wao mkubwa wowote hapa within hii miaka 6 halafu tujue deni lao kufikia 70% labda lilifanya mradi flan,wengi wanawaona wakenya wajanja hawaijui kenya kiuhalisiaKenya raha sana. Siyo hapa Tanzania kwa mazuzu na mazombie