Ruto abadili dini!?

ndio habari ya mjini hapa kitaa...
 
Hata Tyson Mike alibadili dini!
Kubadili dini si ajabu siku hizi.

Hata ukizini au ukiiba unakuwa umebadili dini pia.

Ukibeba bomu unakuwa umebadili dini pia.
 
The first time I saw that pic I thought it was photoshop but alas, these politicians know how to embrace gado!
 
Maandalizi ya uchaguzi mkuu!aidha kupata ufadhili na kuungwa mkono katika harakati za kuendelea na safari ya kisiasa
 
Kumbe hawa viongozi wanapenda kucheza na akili za watu!
 
Ndio zao wanasiasa, wanakukujia kulingana na unavyotaka. Lakini naona kama Ruto anajaribu kunogesha jinsi watu humwita Singh arap mashamba





hahaha kwa msimu huu wa kampeni, hata uchi watatembea hawa viongozi. Rao kachapia kweli kweli apo, sijui kaomba wapi hayo mavazi..
mashamba alikuwa anatimiza utabiri wa gado hehe
 
Sijaelewa hapo dini amebadili vipi? Mavazi pekee siyo dini!
 
Ndio zao wanasiasa, wanakukujia kulingana na unavyotaka. Lakini naona kama Ruto anajaribu kunogesha jinsi watu humwita Singh arap mashamba





Raila amevaa aje kama Jehova wanyonyi hapa!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maandalizi ya uchaguzi mkuu!aidha kupata ufadhili na kuungwa mkono katika harakati za kuendelea na safari ya kisiasa
Hongera kwa kuona mbali!
Ndio zao wanasiasa, wanakukujia kulingana na unavyotaka. Lakini naona kama Ruto anajaribu kunogesha jinsi watu humwita Singh arap mashamba





Na katika picha zote,kapendeza sana!
 
Amebadili kwenda dini gani na uthibitisho ni upi hapa au ni haya mavazi tu? Akina Nyerere na viongozi wengine wanapoalikwa lets say kwa idd huvaa nguo za kiislamu, je ni kwa mavazi tu? Na kama amebadili kweli, si lazima iwe ni kisiasa, ye ni mtu kamili, ana uwezo wala hafungwi kuitafuta kweli popote anapoamini ipo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…