Si Mlisema Jamaa Anakuja CHADEMA Na Mtaji Gani? Huyo Ndiyo Mmoja Wa MTAJI Wenyewe Ukiachilia Mbali Ule Ambao Mzee Mtei Na Mtoto Wa Mjini Mbowe Walioupata Pale Sea Cliff Hotel Kutoka Kwa Mr. WAKUCHINJWA CHINJWA KILA WAKATI.
Kwani ni vigezo gani vilitumika kumpa huyo mama ubunge? Au mchakato ulikuwaje? Hii itasaidia kuondoa doubts kuhusu ukanda na kujua na.
wewe ni nani katika chama?? Unataka kila mmoja apate ubunge wa viti maalum?? Mbona hujashtuka juliana shonza kupewa ubunge?? Kuhama ni kuhama tu siasa ni kazi by the way mbowe alisema wanagawana majukumu na sio kugawana ulaji.
Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Sasa Huwa ANAMLAJE Wakati 24/7 Ana Vibrate Na Ku GEITA?
Jina lenyewe mollel unategemea nini. Halafu hujui kuwa lowassa alikuwa na list yakeNdiye huyo huyo aise, mie mwenyewe nimeshangaa sana.
Du kweli nimeamini msemi wa wahenga kuwa mwenye pesa ndio mchagua wimbo kwa mpiga zumari.Kaka usihangaike. Hiyo ni ngoma ya Lowasa tangu akiwa katibu mkuu utumishi. Ameziba nafasi ya Regina. Ndo mapendekezo ya mzee Lowasa hayo. Yaani badala ya kwenda bibi mkubwa, kachukuliwa bibi mdogo
Hizo ni mojawapo za Nafasi 4 alizopewa Mtukufu Rais Edward Lowasa na kamati Kuu ya CHADEMA ndio kawapendekeza hao mwingine ni yule mweka hazina wa CCM kule Iringa. Alibaki CCM kwa kazi maalumu.
chanzo: Salum Mwalim kupitia gazeti la Nipashe
Sijasikia ni lini walichaguliwa ndio maana sielewi...
Harakati ndani ya Chadema alizianza lini?
Nani katoa Masharti? Na ni masharti gani? Kumbukumbu nzuri la Tukio la Lowasa kuja CHADEMA kaliongea Vizuri Dr.Slaa tafuta Youtube video Ipo Tusiwe wavivu na watu wa kuhisi/kufikirika.Katiba ya Chadema inasemaje kujusu hili...yaani mwanachama kugombea urais au kujiunga na chama anatoa masharti?