Russian Su-27 Fighter Aircraft Can Destroy Three New US F-35s

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
11,626
Reaction score
18,228
Currently, the US Department of Defense (DOD) is reviewing the total number of F35s it will purchase. According to a report released by the National Security Network, the DOD plans to purchase and operate nearly 2, 500 aircrafts costing US around $1.4 trillion.

1018524774.jpg
Photo: F-35

In light of that, analyst Bill French wrote a report titled "Thunder without lightning: high cost and limited benefit
development program of F-35," reviewing the new aircraft.

The document states that according to the technical parameters the F-35 is "losing to the fourth-generation fighter MiG-29 and Su-27, developed by the Russian Air Force and used around the world."

The Soviet MiG-29 and Su-27 fighter aircraft are superior in technical performance than the new US fighter aircraft F-35. The conclusion was reached by the American analyst Bill French, working for a non-profit organization National Security Network.

"The F-35 is significantly inferior to the Russian Su-27 and MiG-29 in regard to wing loading (exception - F35C), acceleration and thrust-weight ratio (the ratio of thrust to weight of the aircraft)," said the analyst.

Besides, all of the F-35s have significantly lower maximum speed as compared to the Soviet Union aircrafts. Mr. French also deliberated that in a simulation of air combat, the results draw even "grimmer picture."

According to him, in 2009 the analysts of US Air Force Intelligence and the Lockheed Martin Company, which developed the new American fighter, noted that despite the superiority of the F-35 in regard to stealth technology and avionics, if compared to the Su-27 and MiG -29 the loss ratio is to be expected 3: 1. That is, for each destroyed Su-27 or MiG-29 there would be three F-35 destroyed.

Also, in a real educational dogfight, a veteran in a US Air Force F-16 easily won over the F-35.

The latter clearly did not have enough maneuverability - the aircraft never managed to take a position for launching missiles or firing a gun, while the F-16 managed to catch opponent in sight at least 10 times.

Earlier the problems associated with the F-35 were also noticed in Australia. News.com.au compared the F- 35 to the latest fifth-generation T-50 fighter. The portal noted, judging by the videos, the Russian aircraft significantly exceeds US maneuverability.

Source: RT

source:RT

Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Source: Russia Today.

Bwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Hawa jamaa ni noma sana kwenye mambo ya vita. Katika kitu ambacho hadi kesho Marekani wakikumbuka huwa wanakosa sana raha, ni ile vita ya Serbia. F-117 ndio ilikuwa imetoka jikoni lakin ilitunguliwa na mfumo ambao Warusi wenyewe walikuwa wamesahau kama walishawahi kutengeneza mfumo ule.
 
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Source: Russia Today.

Bwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Hivi source ni mpaka itoke camp David ndo itakuwa habari ya kuaminika?
 
Pwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Source: Russia Today.

Bwa! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
You are unquestionably megasmart upstairs,lakini wakati mwingine mapenzi yako kwa UNCLE SAM yanapitiliza mipaka!!

Hapa hawazungumzii mambo ya siasa wanazungumziai mambo ya sayansi na teknolojia i.e facts & figures
 
Hapa hawazungumzii mambo ya siasa wanazungumzia mambo ya sayansi na teknolojia i.e facts & figures, source za taarifa zimetoka huko huko Merikani RT wamenukuu kilicho semwa kwani tatizo liko wapi? Ngabu ukimwambia kwamba Merikani inanunua first stage solid fuel rocket engines kutoka Urusi Ngabu atakubishia mpaka kwa Pilato!! Mark you engines zina nguvu za horse power million mbili+ Warusi wanavyo jiamini wana taarifa kwamba engines hizo zinatumiwa na Wamerikani kurusha satellite za kijeshi zikiwemo satellite killer zinazo weza kutumika kuhujumu satellite za Urusi na Uchina,Warusi walisha jipanga jinsi ya kudeal na tishio hilo muda mrefu tu ndio maana wanaendelea kuwauzia engines bila wasiwasi.Mkuu Ngabu hivi huna habari kwamba Wamerikani wamejitahidi ku-reverse injinia engine za roketi za Urusi aina ya RD-10 wakashindwa baada ya zilizo jaribiwa k uripuka mara kwa mara na kuwatia hasara - Ngabu 'am talking about Saturn engines a carbon copy of Russian RD-10!! Poor YANKEES tangu Mjerumani one Waner Von Braun afariki Dunia Merikani haijapata tena Mwanasayansi mwingine kama huyo wa ku design roketi injini zenye uwezo mkubwa,mjerumani huyo alikuwa noma sana alikuwa na akili kupindukia alikuwa analingana na Mrusi one S.Korelov(sijui kama jina nimepatia).

Naweza kueleza mengi kuhusu nyanja ambazo Wamerikani walitegemea sana tafiti za Kirusi za kisayansi kuwasaidia kwenda anga za juu na mambo mengine mengi, uzuri wa wanasayansi hawana choyo na hawachanganyi masuala ya siasa na ukweli wa kisayansi ndio maana wameanika mapungufu ya F-35 adhalani ili Serikali ya kwao iyafanyie kazi, mbona wanaisifia a single engined F-16 fighter yenye airframe ya miaka ya sabini?
 
Kama wanazungumzia mambo ya "facts & figures", ni wapi na lini hiyo SU-27 ilizigaragaza hizo F-35?
 
We nawe umezidi kuokoteza mi conspiracy theory yako huko kwenye mitovuti ya wachukia Marekani!

Punguza chuki.
 
Warusi wakitoa mapunguf ya kitu fulani mala nying uwa ni ukweli kbisa.warusi walishaongea kuhus mfumo wa kujikinga na makombora wa Patriot kuw unamapunguf makubw san.na kwel mwisho wa siku Usa walikubali kuw mfumo wao unatakiw urudi kiwandan baad ya kuonyesh mapunguf makubw san ktk vita ya iraq
 
Kweny swala la siraha warusi uweka utaifa kwanz na sio maslai ndio maan utengenez sirah bola kw bei nafuu,tofauti na marekani wao uweka maslai mbele.
 
Ni taifa gani hii kitu awaitumii Ak-47.ndio ujue warusi ni noma hadi huyo marekani mwenyew anaitumia
 
Iyo su-27 marekani mwenyew alitoa pesa na kuinunua maan vitu vilivyokuw vinafanyik aliona ni kam uchawi vile
 
Back
Top Bottom