Cold war 2.0 has begun
Nchi za magharibi zime instigate machafuko huko Ukraine.
Mapinduzi yaliyofanyika waliyasapoti na kuchekelea kwenye TV zao.
Sasa mwanaume Putin anataka kumfunge kengele nyau.
bunge la russia limeshampa ok putin apeleke jeshi ukraine.Putin seeks Ukraine troop deployment
President Putin asks Russian parliament's upper house to approve use of Russian troops in Ukraine
Here we go again
Source: BBC
nchi za magharibi walichukia sana pale ukraine walipoamua kuelemea russia badala ya kujiunga na EU.russia keep going. kupinduliwa kwa uongozi kiev ni hila za wamagharibi kuendelea kudhoofisha urusi lakini watashindwa.
Putin anajifariji tu, nchi za magharibi ni wajanja sana kwa kupiga propaganda za siasa wakikuchukia wao ukiwa Rais wa nchi fulani utashangaa hata raia wako wanakuchukia
Putin anaweza kuwa anatumia mwanya uliopo kwenye political system ya Marekani kuhusu mgawanyiko wa Republican na Democrats; ila itakapofika kuwa enough is enough na jamaa wakawa Marekani moja kama ilivyokuwa 9/11 utashangaa kuona mabavu ya Marekani dhidi ya Putin na wafuasi wake. Cold War iliyokwishwa zaidi miaka 20 iliiypita na kuacxha superpower mmoja haiwezi kurudi tena leo. Sehemu kubwa sana ya teknolojia inayotumiwa na urusi leo imetoka marekani, na vile vile uchumi wote wa urusi leo unategema sana gesi wanayouza kwenye nchi za NATO.Kwa mwaka jana putin ndo alikuwa na nguvu zaidi kwa kuzuia siria isivamiwe....mwaka huu tena putin anaonyesha makucha yake huko ukraine...tusubiri tuone
Kuna angle nyingine ya kuangalia. Ukrain ilikuwa ndiyo ngao ya urusi wakati wa cold war.hakuna kitu kama hicho marekani hawezi kuingia vitani na russia kisa ukrain tukumbuke vile vita vya gorgia kipindi kile bush alikua madarakani alichimba mkwara hivyo hivyo lakini comandoo v.putin hakuhofia mkwara wowote mzee akaingia gorgia akawaadabisha kisha akarudi hom tena kipindi kile alikua wazir mkuu,puting sikuzote aogopi nyau ilimradi maslahi yao yasiharibiwe tu the same to us,