Russian Commanders in action

Hahaaa... kumbe bodaboda inaweza kuwa kifaa cha jeshi. Mwakani Dec 9 lazima makomandoo wetu watupe hii show.
 
Hawa kama sio India basi ni Pakistan. Russia hawana tabia ya kufanya maonesho ya pikipiki, pia hawatumii sare za aina hii katika jeshi lolote lile ingawa inaelekeana na sare za VDV (airborne division). Makomandoo wa Spetsnaz, Alpha na Vymper hawako kindezi namna hii na wote huwa wana miili mikubwa sijui kwa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…