Russian Bunker smashing Rocket arrived in Bagdhad,IRAG

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
40,343
Reaction score
33,487
TOS-1 Buratino themobaric Rocket-MLRS.
tos1.jpg

.

Russia’s Bunker-
Smashing Rockets
Have Arrived in
Iraq
Baghdad could
deploy TOS-1
rockets to shatter
militants’
defenses
Photos have appears on
Iraqi social media depicting
Russian-made rocket
artillery arriving in Baghdad.
The snapshots, published on
July 25, show TOS-1A
systems unloading from
giant An-124 cargo planes.
The rockets could help
Baghdad battle Islamic
militants.
TOS-1 was the Soviet army’s
secret hammer during the
last decade of the Cold War.
It fires powerful rockets to
smash enemy trenches,
fortifications and buildings,
cracking defensive lines to
allow tanks and infantry to
punch through.
The Soviets deployed TOS-1
for the first time in
Afghanistan in 1989, a full
decade before publicly
unveiling the rocket
launcher. In 2009, the
Russian rolled out TOS-1s
for counterinsurgency drills
and officially offered to
export the rocket launcher
as a means of defeating
rebels and militants.
TOS-1A is the upgraded
version—and arguably the
most destructive artillery
piece in the world. TOS-1A
includes a T-72 tank chassis,
allowing it roll right through
enemy gunfire in order to
get close enough to attack.
The launchers fires 24 220-
millimeter rockets, each with
a 100-kilogram thermobaric
warhead.
A single TOS-1 rocket is
more powerful than a
conventional 1,000-pound
explosive munition.
The system has limited
range compared to other
heavy artillery systems—just
six kilometers. But that’s far
enough to keep the rocket
battery safe from enemy
tank-hunters.
Striking from short range
also increases accuracy and
reduces rocket dispersion in
the target area. TOS-1A has
a ballistic computer that can
calculate firing angles with
just 90 seconds of prep
time.
The presence of TOS-1A in
Iraq is in line with the
Iranian approach to
defeating Sunni rebels in
Syria. Iran has been helping
Iraq battle the militant
Islamic State of Iraq and
Syria after ISIS captured
northwestern Iraq in June
and subsequently attacked
an Iranian border post.
In Syria, Iranian-backed
fighters have fired Barakan
and Falagh heavy rockets in
order to smash rebel front-
lines before major ground
assaults.
But the Russian TOS-1 is a
step beyond what the
Iranians have deployed in
Syria. TOS-1 is more
powerful and more
accurate. It could signal
Baghdad’s intention to
launch counterattacks
against ISIS.
Each time militants dig in,
TOS-1 could root them out.
The huge rockets could
wipe out entire stretches of
ISIS’ defensive lines and
open up paths for Iraqi
ground troops.
 
Iraq receives Russia MI-28
attack helicopters
Saturday, 30 August 2014
Iraq has received Russian Mi-28
attack helicopters and will use
them against militants who have
overrun large parts of the
country, the defense ministry
said.
While the ministry did not specify
how many of the heavily
armored two-seat gunships it
has received or what it paid for
them, a video posted on its
website showed a hangar
containing multiple desert
camouflage-painted Mi-28s,
which are capable of all-weather
and day and night operation.
 
zana tu, hata Idd amini na libya walikuwa nazo lakini hawakufua dafu kwa tanzania.
Pia Islamic state wanamiliki silaha za wamarekani, na ndizo wanazotumia kutoa kichapo kikalikwa washia,Silaha ambazo kihistoria ni za ubora kuliko zile za Russia.
 
Historia ipi mkuu?
 
Wewe unafamahu Siraha za Mrusi kweli? Katika Vita zote Urusi hajawahi tumia Siraha nzito na Ulaya na Nato yao wanafahamu Siraha za Urusi zilivyo.
 
Aisee! Kumbe Urusi ndio habari ya mujini!
Nalog off
 
Tatizo kubwa la 2013 ni ushabiki uliokithiri.
 
@Elungata
kumbuka Historia ya vita ya dunia:
hao urusi ilibaki kidogo wachukuliwe na Ujerumani Kwenye WWII, baada yaujerumani kushika poland, ufaransa, belgium na nchi nyingine nyingi. Na kama sio ile baridi kali iliyowaokoa.Kwakupunguza kasi ya wajerumani kufika moscow.Kwani bara lile lilikuwa kubwa na kufikia Moscow palikuwa mbali sana.

Usisahahu urusi ya kisoviet ilivyoshindwa Afghanistan ilipopigana na mujahidin. Hata USA ilipokwenda kumchapa Taliban kule afghanistan Russia iliwaonya kuwa watashindwa. US wakawadharau wakaenda na kutoa kichapo kikali kwa Taliban na Osama akapatikana na Mullar omar akawa amesepa.kwa sasa kuna utawala mpya. Mfupa uliomshinda URUSi (tena sio haka ka-russia ambacho ni kadogo zaidi) Marekani wakautaufna ndani ya dakika chache.
.
Usisahahu Urusi ilivyowasaidia waarabu kwa kuwapa silaha za kuichapa Israel, lakini wakaishia kupewa kichapo mbele yake na israel

mpaka Urusi ikatishia kuingia vitani dhidi ya Israel iwapo Israel hawatasimamisha vita. Ikapelekea USA na ulaya waingie kulazimisha amani kati ya Misri na Israel.
Usisahahu cold war Urusi ilishindwa vibaya na kusambaratika mataifa yakaji mega(ikiwemo Ujerumani, n.k. mpaka ikawa aibu ambayo Putin anataka kuifuta kupitia Kuvamia Ukrane..
Currently nchi yenye kuinuka kwa kasi kijeshi, na kiuchumi ni China na sio Urusi.NA Kwa bahati mbaya China bado anamaskini wengi sana na hajapata michubuko inayopitia marekani mpaka sasa. Ili tuweze kuilinganisha na Ukuaji wa kweli wa uchumi wake.

Hivi unajua Urusi ilikuwa inalipwa posho na marekani ili isididimie zaidi kwenye lindi la umasikini. Hivi unajua kwanini Urusi inaongoza kwa ubaguzi ulaya kuliko maeneo mengine. Blacks kule hawatembei hovyo. Sababu ni hizi za umaskini. fuatilia waliosoma chuo cha Lumumba utafahamu zaidi.
Usitake kujidanganya eti maskini anaweza mbele ya Tajiri.Russia is poor.Poor than India, China, Japan, South Korea, Taiwan, etc.Na hii imekuwa aibu kwao ndio maana Putin anataka kulazimisha mambo, baada ya kuhisi uchumi umeamia mashariki mwa dunia, na sio tena western.
Nimeongea in a nut shell....

Wewe unafamahu Siraha za Mrusi kweli? Katika Vita zote Urusi hajawahi tumia Siraha nzito na Ulaya na Nato yao wanafahamu Siraha za Urusi zilivyo.
Unafahamu silaha za USA, ambazo ndio the best all over the world mpaka sasa?
 
Historia ipi mkuu?
Tangu enzi za nyuma Ukiondoa bunduki ya Ak47, Kuanzia ndege za kivita na zana mbalimbali za kijeshi na ubora wa wanajeshi wa marekani wenye hadhi ya ukomando, Russia haifikii. Russia kama zilivyo China zinapumulia Umilik wa Nyuklia na si vinginevyo.
 
@Elungata
kumbuka Historia ya vita ya dunia:
hao urusi ilibaki kidogo wachukuliwe na Ujerumani Kwenye WWII, baada yaujerumani kushika poland, ufaransa, belgium na nchi nyingine nyingi. Na kama sio ile baridi kali iliyowaokoa.Kwakupunguza kasi ya wajerumani kufika moscow.Kwani bara lile lilikuwa kubwa na kufikia Moscow palikuwa mbali sana.

Usisahahu urusi ya kisoviet ilivyoshindwa Afghanistan ilipopigana na mujahidin. Hata USA ilipokwenda kumchapa Taliban kule afghanistan Russia iliwaonya kuwa watashindwa. US wakawadharau wakaenda na kutoa kichapo kikali kwa Taliban na Osama akapatikana na Mullar omar akawa amesepa.kwa sasa kuna utawala mpya. Mfupa uliomshinda URUSi (tena sio haka ka-russia ambacho ni kadogo zaidi) Marekani wakautaufna ndani ya dakika chache.
.
Usisahahu Urusi ilivyowasaidia waarabu kwa kuwapa silaha za kuichapa Israel, lakini wakaishia kupewa kichapo mbele yake na israel

mpaka Urusi ikatishia kuingia vitani dhidi ya Israel iwapo Israel hawatasimamisha vita. Ikapelekea USA na ulaya waingie kulazimisha amani kati ya Misri na Israel.
Usisahahu cold war Urusi ilishindwa vibaya na kusambaratika mataifa yakaji mega(ikiwemo Ujerumani, n.k. mpaka ikawa aibu ambayo Putin anataka kuifuta kupitia Kuvamia Ukrane..
Currently nchi yenye kuinuka kwa kasi kijeshi, na kiuchumi ni China na sio Urusi.NA Kwa bahati mbaya China bado anamaskini wengi sana na hajapata michubuko inayopitia marekani mpaka sasa. Ili tuweze kuilinganisha na Ukuaji wa kweli wa uchumi wake.

Hivi unajua Urusi ilikuwa inalipwa posho na marekani ili isididimie zaidi kwenye lindi la umasikini. Hivi unajua kwanini Urusi inaongoza kwa ubaguzi ulaya kuliko maeneo mengine. Blacks kule hawatembei hovyo. Sababu ni hizi za umaskini. fuatilia waliosoma chuo cha Lumumba utafahamu zaidi.
Usitake kujidanganya eti maskini anaweza mbele ya Tajiri.Russia is poor.Poor than India, China, Japan, South Korea, Taiwan, etc.Na hii imekuwa aibu kwao ndio maana Putin anataka kulazimisha mambo, baada ya kuhisi uchumi umeamia mashariki mwa dunia, na sio tena western.
Nimeongea in a nut shell....

Mkuu kuna wakati huwa unatumia madawa makali? au unatumiaga viroba?
 
Huu ndio ukweli usiopingika...
 
N kwel kabisa mkuu... nilimsikiliza pia lipumba akihojiwa na BBC alisema hayo hayo...
 
Unafahamu silaha za USA, ambazo ndio the best all over the world mpaka sasa?
Ndo kusema unataka kusema russia alishindwa afaghanstan?.nijuavyo wao ndo walikua wanamweka madarakani Najibullah,walipoondoka ndo mujahidina wakaweza kuiteka kabul.

na kitu kilichowatoa ni expense.
marekani walifanya hila na saud wakajaza mafuta sokoni,bei ikafa.kwakua soviet ilitegemea mapato yake kupitia mafuta,uchumi ukaanguka ndo russia ikaanza kuondoa wanajeshi na base zake toka sehemu mbalimbali ikiwemo afghan.
marekani waliwapa mujahidina stinger ambayo ni MANPAD yaani silaha za kudungua ndege ya kubeba ambayo si silaha ya ajabu kwani hata soviet anazo.
ujue kuwa silaha ya mrusi ndo inatumika sana vitani kuliko ya marekani.
 
USA hana sauti kwa Russia, ndo maana hadi leo anabaki kukaa kimya na kulalamika
 
Back
Top Bottom