Nonda Ahsante kwa Video hizo. Ni kweli kabisa kuwa Israel haikuwataka WAKRISTO maana iliamini Holocaust ilifanywa na wakristo hasa Hitler alipowauwa wengi akitumia dini fulani ya Kikiristo ambayo sitaitaja.
Bila kuingia ktk mabishano. History is so clear.Hivi ni nani aliua wayahudi "6 milioni"?
Waarabu au wapalestina?
Pengine uniambie je ni nani unafikiri aliwauwa? Ndo nikujibuHivi ni nani aliua wayahudi "6 milioni"?
Waarabu au wapalestina?
Niambie nani walimnyanyua na kumbeba Hitler? Nani walimsaidia na kujaza mifuko ya Hitler ili atwae madaraka?Pengine uniambie je ni nani unafikiri aliwauwa? Ndo nikujibu
Link Uhalisia wa taifa la IsraeliBila kuingia ktk mabishano. History is so clear.
And trying to erase it won't work whatsoever!
UHALISIA. As in /on WHAT?
Soma kilichoandikwa kwenye hiyo link na baadae kama hukubaliani na hayo yaliyomo rudi na hoja zako.UHALISIA. As in /on WHAT?
Ninapojibu ninajua ni nini ninajibu. Ninajua the skewed reporting against Jews. Niko well informed.Soma kilichoandikwa kwenye hiyo link na baadae kama hukubaliani na hayo yaliyomo rudi na hoja zako.
Usijianike juani. Ni ushauri tu.
Kwa aina hii ya "kujibu" nikuaminia kwamba unajua ni nini unajibu. You are a chosen one.Ninapojibu ninajua ni nini ninajibu. Ninajua the skewed reporting against Jews. Niko well informed.
Hizo video NINAZIJUA na sikutaka kukuambia.
Kindly just cool your heels!!!!