Russia will start colonize the moon by the year 2030

Russia will start colonize the moon by the year 2030

sisi tuwaze tukuhusu shule zetu za kata zitaboreshwa vipi na maji safi na salama tutaanza kunywa lini. Miundo mbinu kama barabara za kusafirisha mazao vijijini, soko la vitu vya nyumbani n.k.
 
sisi tuwaze tukuhusu shule zetu za kata zitaboreshwa vipi na maji safi na salama tutaanza kunywa lini. Miundo mbinu kama barabara za kusafirisha mazao vijijini, soko la vitu vya nyumbani n.k.

Husipoupanua ubongo wako kujua wenzako wanafanya nini matokeo yake ndo hizo shule za kata utaanza kutaka cha juu kwenye pesa ya madawati, vitabu na kula pesa za kutengenezea mabarabara ukiona kuwa hapo ndipo kila kitu. Panua mawazo na pata challenge toka sehemu mbali mbali.
 
JustDoItNow
mKUU KUPANUA UBONGO MUHIMU, LAKINI ISIJE IKAWA NI KAMA TUNAANGALIA "FICTION MOVIE".
sisi bado junior sana kuwakaribia hawa weupe.Sisi hata matatizo yale ya kawaida hatujayapatia ufumbuzi wa kudumu.Kama Rushwa,Ufisadi, huduma mbovu, Uongozi mbovu, elimu duni, Afya, Umasikini n.k.
 
Wacomunist wanatisha,mchina nae anapanga kujenga train ya mwendokasi mpaka new york city ,marekani.inapita chini ya maji,dah!!
 
Back
Top Bottom