Russia warns could 'reduce to zero' economic dependency on US

Russia warns could 'reduce to zero' economic dependency on US

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333
Moscow (AFP) - Russia could reduce to zero its economic dependency on the United States if Washington agreed sanctions against Moscow over Ukraine, a Kremlin aide said on Tuesday, warning that the American financial system faced a "crash" if this happened.

"We would find a way not just to reduce our dependency on the United States to zero but to emerge from those sanctions with great benefits for ourselves," said Kremlin economic aide Sergei Glazyev.

He told the RIA Novosti news agency Russia could stop using dollars for international transactions and create its own payment system using its "wonderful trade and economic relations with our partners in the East and South."

Russian firms and banks would also not return loans from American financial institutions, he said.

"An attempt to announce sanctions would end in a crash for the financial system of the United States, which would cause the end of the domination of the United States in the global financial system," he added.

He said that economic sanctions imposed by the European Union would be a "catastrophe" for Europe, saying that Russia could halt gas supplies "which would be beneficial for the Americans" and give the Russian economy a useful "impulse".

Glazyev has long been seen as among the most hawkish of the advisors to President Vladimir Putin but many observers have seen his hand in the apparent radicalisation of policy on Ukraine since the overthrow of president Viktor Yanukovych.

Economists have long mocked his apocalyptic and confrontational vision of global economics but also expressed concern that he appears to have grown in authority in recent months.

A high ranking Kremlin source told RIA Novosti that Glazyev was speaking in the capacity of an "academic" and his personal opinion did not reflect the official Kremlin policy.

Glazyev descrived the new Ukrainian authorities as "illegitimate and Russophobic", saying some members of the government were on lists of "terrorist organisations, they are criminals".

"If the authorities remain criminal then I think the people of Ukraine will get rid of them soon," he added.
 
Huu ubabe wa Warussi safi sana.

Papa ana vituko na mikiki baharini lakini wenye bahari wapo.

Wanasubiri nini kwa nini wasianze sasa hivi??
 
Huu mgogoro unaweza kuinufaisha sana Tanzania na kuiacha Urusi ikirudi kwenye umaskini wake wa zamani. Tofauti na China ambayo uchumi wake umekua kwa kuuza bidhaa za viwandani urusi uchumi wake umetegemea sana gesi inayouzwa huko Ulaya; mabomba yake yanapitia Ukraine na Georgia. Mgogoro huu utasababisha nchi za ulaya zipunguze utegemezi wa gesi ya urusi na kuanza kufikiria sehemu nyingine. walishanya hivyo sana katika historia. Beneficiary wa kwanza watakuwa ni nchi za Afrika zenye gesi; urusi ispouza gesi, basi uchumi wake utauridi tena kule ulikoktoka. Viwanda vyao bado havijawa vya kushindana sana na viwanda kama vya China na Korea katika masoko ya dunia ya tatu wakati soko lao la ndani ni dhaifu sana ukilinganisha na masoko ya ndani ya Magharibi. Time will tell.
 
Warusi kelele tuu,hao Russian billionaires soon wataanza kukimbia na pesa zao kuelekea west sijui Putin atabaki na capital IPI?US wana gas kufa mtu asipoangalia US will take over Europe gas market... Russia bado njaa tuu
 
Hawa warusi nao mbwembwe zimekuwa nyingi sana. If they could reduce the dependency on Americans to zero then they would have done it by now. Yaani wanataka kusema kwamba wanafurahia kuwategemea wamarekani??
 
USA has stretched too thin, i think they should rejuvenate/regenerate before they get into another trouble
 
Mrusi ana tamba kwa sababu ukiacha ukaribu ki-Geografia, ana bomba linalokuja moja kwa moja Ujerumani kwa sasa na Mama Merkel hawezi kuvunja mkataba na Mrusi kwa sababu wamejenga wote. Pia hizi kampuni za Urusi, Putin kaziingiza kama za West kwa sasa. Nafikiri wali-lobby na sheria zikawaruhusu kufanya hivyo.

Ila bado sana kumfikia USA. Hata huko East na West anakotamba, wakiambiwa wachague kati ya USA na RUSSIA, watachagua USA kwa sababu kule watu wananunua sana vitu kuzidi hao Warusi Mabilionea sijui wako 100 tu?
Huu mgogoro unaweza kuinufaisha sana Tanzania na kuiacha Urusi ikirudi kwenye umaskini wake wa zamani. Tofauti na China ambayo uchumi wake umekua kwa kuuza bidhaa za viwandani urusi uchumi wake umetegemea sana gesi inayouzwa huko Ulaya; mabomba yake yanapitia Ukraine na Georgia. Mgogoro huu utasababisha nchi za ulaya zipunguze utegemezi wa gesi ya urusi na kuanza kufikiria sehemu nyingine. walishanya hivyo sana katika historia. Beneficiary wa kwanza watakuwa ni nchi za Afrika zenye gesi; urusi ispouza gesi, basi uchumi wake utauridi tena kule ulikoktoka. Viwanda vyao bado havijawa vya kushindana sana na viwanda kama vya China na Korea katika masoko ya dunia ya tatu wakati soko lao la ndani ni dhaifu sana ukilinganisha na masoko ya ndani ya Magharibi. Time will tell.

Mkuu, Putin ni KGB kwelikweli. Hebu soma GASPROM alivyojijenga nchi za West Europe na uje tuongee. Unafikiri Waingereza watasema wamuondoe Owner wa Chelsea? Hata sasa hivi wanawaonea Mabilionea wa Ukraine kwa kugandisha fedha zao zote. Sijui kwa nini hawagandishi na Matajiri wa Tanzania?

Warusi kelele tuu,hao Russian billionaires soon wataanza kukimbia na pesa zao kuelekea west sijui Putin atabaki na capital IPI?US wana gas kufa mtu asipoangalia US will take over Europe gas market... Russia bado njaa tuu
 
Tangu Putin alianzishe Moscow exchange imeanguka big time na trading Russian currency was suspended due to volatility, wameanza kukimbiza capital zao Nje ya Russia... Putin atakubali tuu la sivyo atabaki na makombora bila Economy
 
Putin ni rais mpuuzi sana duniani...

Kigogo, yaani utadhani neno Globalization means nothing to him. Kama vile uchumi wa Russia unajitegemea wenyewe. Upande mwingine, Russia amewashika nchi za Ulaya mabaya. Yaani Ana supply karibia 40% ya gas, sijui watajikung'uta vipi.
 
Tangu Putin alianzishe Moscow exchange imeanguka big time na trading Russian currency was suspended due to volatility, wameanza kukimbiza capital zao Nje ya Russia... Putin atakubali tuu la sivyo atabaki na makombora bila Economy
Mkuu kuanguka kwa soko ilikuwa dunia nzima, na soko limeregain na si kwa Urusi tu.
 
Tatizo la putin ni kuwa ile peninsula ya Crimea ina gasi nyingi sana kuliko Urusi yote, na anajua kuwa iwapo gasi itaanza Ukarine ikiwa karibu sana na wets halafu makampuni ya westa yakaanza kuchimba gasi ile na kuiuza Ulaya, yeye atakosa soko kabisa. Kwa hiyo ama anataka akichukua kabisa peninsula ile, au anataka kuzuia gasi ile isichimbwe.
 
Putin anajua anachofanya,tusubiri tuone

Anawachelewesha kwa muda tu mahasimu wake! Licha ya utajiri mkubwa wa Gesi na Petroli Warusi wengi ni masikini na wapo nyuma sana ktk Teknolojia na Viwanda! Kwa hiyo hizo ni propaganda tu za kuwabeza washindani wao.
 
Huu mgogoro unaweza kuinufaisha sana Tanzania na kuiacha Urusi ikirudi kwenye umaskini wake wa zamani. Tofauti na China ambayo uchumi wake umekua kwa kuuza bidhaa za viwandani urusi uchumi wake umetegemea sana gesi inayouzwa huko Ulaya; mabomba yake yanapitia Ukraine na Georgia. Mgogoro huu utasababisha nchi za ulaya zipunguze utegemezi wa gesi ya urusi na kuanza kufikiria sehemu nyingine. walishanya hivyo sana katika historia. Beneficiary wa kwanza watakuwa ni nchi za Afrika zenye gesi; urusi ispouza gesi, basi uchumi wake utauridi tena kule ulikoktoka. Viwanda vyao bado havijawa vya kushindana sana na viwanda kama vya China na Korea katika masoko ya dunia ya tatu wakati soko lao la ndani ni dhaifu sana ukilinganisha na masoko ya ndani ya Magharibi. Time will tell.
Yaani ni kama ulikuwepo! Kuna habri nyingine tena iko hapa.
https://www.jamiiforums.com/habari-...gi-zaidi-yagundulika-bahari-kuu-tanzania.html

Kampuni ya Statoil yaendelea kugundua gesi bahari kuu:

Oystein%20Michelsen.jpg

Meneja wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen

Kampuni ya Statoil na mshirika wake, Exxon Mobil, imetangaza matokeo mazuri ya majaribio ya gesi kwenye kitalu namba mbili katika kina kirefu cha bahari kisima cha Zafarani-2.
Kwa mujibu wa Meneja wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen, majaribio hayo kwenye kisima cha Zafarani-2, kimeonyesha kuwa na uwezo wa kutiririsha futi za ujazo milioni 66 kwa siku.
Alisema takwimu zilizopatikana kwenye majaribio hayo, ni muhimu kwa ajili ya kupunguza shaka inayoweza kuwapo siku za usoni kuhusu gesi iliyoko ya kina kirefu cha bahari na gesi ya kusindikwa hapa nchini.
Alifafanua kuwa majaribio ya uchimbaji yalifanywa katika kisima cha Zafarani-2 urefu wa mita 2,400 ndani ya kina kirefu cha bahari na ikiwa ni umbali wa kilomita 80 kwenda nchi kavu.
Alieleza kuwa baada ya majaribio ya kisima cha Zafarani-2 , kutafuatia uchunguzi wa kiwango cha gesi kwenye kisima cha Zafarani-3, ambacho ndicho cha mwisho kwenye utafiti katika hifadhi ya gesi kwenye kitalu namba mbili.
Alisema kutangazwa kwa matokeo ya majaribio ya kisima cha Zafarani-2 kunafuatia ugunduzi kwenye kisima cha Mronge-1 kulikofanyika Desemba 2013, ambako kunafanya ugunduzi huo kuwa kisima cha tano kwa utafiti unaofanyika kwenye kitalu namba 2.
Alisema ugunduzi huo umefanya jumla ya kiasi cha gesi iliyogundulika kufikia futi za ujazo wa kati ya trilioni 17-20 (Tcf).
Alisema kabla ya ugunduzi uliotokea kwenye kisima cha Mronge-1 kulikuwa na ugunduzi mkubwa gesi wakati wa uchimbaji wa awamu ya kwanza kwenye kisima cha Tangawizi-1, Zafarani-1 na Lavani-1, na ugunduzi mwingine kwenye kisima cha Lavani-2.
Kampuni ya Statoil ina leseni ya kufanya utafiti katika kitalu namba mbili kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), ikiwa na asilimia 65 wakati mbia wake kampuni ya ExxonMobil Exploration and Production Tanzania Ltd ikichukua asilimia 35.
Kampuni ya Statoil imekuwa Tanzania tangu mwaka 2007, ilipopewa leseni na serikali kwa ajili ya kufanya utafiti kwenye kitalu namba 2.

CHANZO: NIPASHE
 
Back
Top Bottom