Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 362
- 909
Wapo wanao tazama vita hii ya Urusi na Ukraine kama "intimidation of diplomatic tactics (mbinu za kiufundi katika diplomasia ya kijeshi)"
Hivyo uona kuwa vita kamili haitapiganwa kamwe, wengi husema kuwa kila upande unajaribu ''balance of terror'' hii inamaa kwamba kila upande unajaribu kutisha.
Hivyo....
Purukushani za makombora na virupuzi zitakuwa ndani ya ukanda wa Donbass yani miji miwili ya Donetsk na Luhansk na nyingine za kushtukizana ndani ya Ukraine lakini vita kamili ni gharama mno kwa kila upande.
Urusi atapata tabu na vikwazo, lakini Putin anajua gesi yake ni kete muhimu, Uchumi wa magharibi ukianza kuyumba kwa bei kubwa ya gesi, watalegeza masharti.
Gesi nyingi itatoka Marekani na sehemu kama Qatar, lakini haitatosha, Pia China itaisaidia sana Urusi.
Mwisho watarudi kwenye maongezi baada ya viongozi kadhaa wa magharibi kupoteza vyeo kwenye Nchi zao.
Tusubiri tuone.
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu