RUSSIA na Ugaidi

RUSSIA na Ugaidi

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.

Je kuna nini hapa?

Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha
 
Attachments

  • 14697406071121469744727.jpg
    14697406071121469744727.jpg
    34.3 KB · Views: 130
mh swala la ugaidi si kishabiki, wala halifai kuhusishanishwa na udini........kwanza miaka ya hivi karibun russia amekuwa muhanga wa vitendo vya ugaidi ile ndege ya misri ilikuwa inaelekea misri ililipuliwa na IS ikaua abiria wote zaidi ya 200, pili putin hajawahi kusema magaidi wakilipua ataua waislamu wote....kama alisema hvyo weka link ya source yako na sisi tusome, tatu ww ni muongo
 
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.

Je kuna nini hapa?

Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha

Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Hii mada n miongon mwa mada znazonipa mashaka juu ya uelewa wa baadhi ya jf members ima malengo yao.

Tafuta nchi ya ulaya yenye waislam wengi ukilinganisha na Urusi sanjar na uungwaj mkono wa Vladmir Vladmirovich Putin miongon mwa jamii ya kiislam Chechnia then linganisha na wale wababe wa dunia ambao kila kona yenye mgogoro wapo.

Maadui wanaundwa
Screenshot_20180513-193045.jpg
 
Russia ndo iko
Karibu zaidi na nchi za kiislam, tussia ina waislam wengi ambao ni raia wake, mfano jimbo la chechinia lote ni la kiislam...russia huwa makini sana kwenye usalama wa ndani, si kwamba hashambuliwi huwa anashambuliwa hasa nje ya mipaka yake na ndani huwa kuna madhara madogo

Russia bahati mbaya ama nzuri hana interest za kutafuta umaarufu kupitia ugaidi kwahiyo huwa anadeli nao kimya kimya jambo ambao hata magaidi wenyewe huogopa..mfano kuna wakati balozi wao alitekwa lebanoni na jamaa wakadai hela kama fidia kutoka russia na russia wakakataa huku wakisisitiza wanataka mtu wao arudishwe tena haraka...magaidi nao wakagoma, kilichofuata ni warrusia walitafuta bdugu wa karibu wa magaidi halafu wakaanza kukata viungo huku wakiwatumia, magaidia kuona hivyo wakasanda wenyewe, ikaja suala la jimbo la chechinia ambao linatawaliwa na waislam kabla ya putin walikuwa wanaleta vurugu ili wajitenge walichofanywa mpaka leo hawataki kusikia wala kurudia...uje eneo la vita la siria kuna wakati walimzingira komandoo wa kirusi, jamaa kuona hivyo akaita ndege imlipue yeye na magaidi...mpaka leo hawana hamu na warusi, bado lile tukio la kuwakomboa matwka waliotekwa kwenye ukumbi wa disco jamaa walivyofanya, jamaa wako serious sana wakishikwa sharubu na magaidi ndo maana magaidi wanaogipoa sana
 
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.

Je kuna nini hapa?

Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha

Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
 
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.

Je kuna nini hapa?

Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha

Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Watu huwa wanashindwa kuelewa UISLAMU NA UGAIDI ni vitu viwili tofauti kabisa havishabihiani hata kidogo

propaganda za west ndiyo zinauchafua uislam kwa interest zao mkuu amka usipende kila kitu ushikwe maskio na wamagharibi
 
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au inashinikiza nchi za kiarabu kwana namna moja au nyingine kama zifanyavo nchi nyingine za Ulaya!Kitu ambacho makundi ya ugaidi yamekua yakikipinga.

Je kuna nini hapa?

Katika pita pita zangu nimeonana na hii picha

Ufafanuzi kwa wanainformationia
View attachment 776244
Acha upotoshaji putin alisema
"Did Putin ever said "I swear if they bomb Russia, I'll kill every terrorist within 30 minutes " or it was just a rumor which was spread around?
 
Back
Top Bottom