Russia kuanguka kama ilivyokuwa USSR

Russia kuanguka kama ilivyokuwa USSR

200px-%D0%90%D0%BB%D0%B5%D0%BA%D1%81%D0%B0%D0%BD%D0%B4%D1%80_%D0%91%D0%BE%D1%80%D1%82%D0%BD%D0%B8%D0%BA%D0%BE%D0%B2.jpg
Hahhahahahahah daah huyo bana sio wa kuchezea kabisaa anamlook sana Sergei shoigu alipokwenda kule kwa macho ya paka kajificheni
 
Mkuu uko sahihi
Unstable countries need strong leaders.Ukiona nchi inaongozwa na one man show ujue haiko stable.Nchi iliyo stable huwa zinaongozwa na taasisi na mifumo imara.Russia,china zote ni unstable countries.Chunguza nguvu kubwa sana zinatumika kuzuia raia wasiwe na access ya habari zitazowafungua vichwa.Hii hali huwa haidumu,sababu kuna siku watu watachoka.Ndipo hapo nchi zinavunjika vipande vipande.Russian federation kuna baadhi ya majimbo Putin anatumia nguvu sana kuyatawala sababu wana mrengo tofauti na mawazo ya kutaka kujitenga,Majimbo kama Georgia ni vulnerable sana.Inahitaji power ya hali ya juu sana kuya contral.
 
Niinyi simlishasema ...Russia ni miserable kiuchumi na vikwazo vitaimaliza kabisa (rejea kauli za viongozi wa awamu ya Obama) kutokana na ujinga wenu wa ku-destabilize Ukraine na kisha kuisingizia Russia? Sasa nchi miserable inaanzaje kuanguka!? Mnashangaza sana.
Umesha chunguza thaman yao ya hela ikoje kwa sasa..?
 
Ni ukweli usiopingika kwamba nchi za magharibi lengo lao ni kuona siku moja Russia ikianguka tena ili waweze kuitawala dunia bila kipingamizi cha aina yoyote. Lakini hilo kwa sasa haliwezi kutokea, kuna kpindi serikali ya Ukraine ilingushwa ili nchi za magharibi wamuweke kiongozi wanayemtaka wao, lakini Russia alirespond kwa kulichukua jimbo la crimea that was a strategic movement coz now Russia is controlling Black Sea, controlling black Sea this means now Russia can controll Mediterranean Sea, so in fact Russia is expanding its territory than ever before. Russia asingelichukua jimbo la crimea by that time, hilo lingekuwa pigo kubwa sana kwake, is there any one who doesn't know that the world is preparing for another war, taking crimea actually that was a big win for the Russian, coz hii itamsaidia kuidhibiti Nato kwa urahisi. Russia hawezi kuanguka wala kuangushwa na Amerika, but America will fall and it's system like petro-dollar economy is nearly to collapse. BRICS is coming to take over. In reality the time will come when Israel will rule the world but for that time to come a big war must come first, kuna kpindi Henric ka
..jina silikumbuki vzuri aliwahi kuwa secretary of the state in America aliwahi sema "out of the ashes we will build a new world, a new world order " so target kubwa hapa ni kumuangusha Russia but Russia won't fall soon.
 
Kwa mtizamo wangu mimi kitisho kikubwa sana kwa Urusi ni idadi yake ndogo ya watu. Utakumbuka kuwa Urusi ndo nchi kubwa kuliko zote duniani kwa ukubwa wa ardhi ikiwa na ukubwa wa km za mraba zipatazo milioni kumi na saba(ni kama wastani wa mara 1.8 ukubwa wa marekani au mara mbili ya ukubwa wa uchina).. pamoja na ukubwa wote huo Urusi ina watu takribani milioni sabini ukilinganisha na Marekani watu milioni 145 na jirani yao uchina watu zaidi ya bilioni.. Kinachotokea ni kuwa kuna maeneo haswa ya mashariki kule siberia (ambayo kihistoria yalikuwa chini ya umiliki wa Uchina au Japan) yana warusi wachache sana wakati ardhi ni kubwa mno mno. Magenge ya uhalifu ya wachina (triads) na wafanya biashara wanaopakana na hayo majimbo wanaingia tu kufanya shughuli za ukataji mbao na pole pole kuloea.. Kutokana na ukubwa wa hii ardhi ukilinganisha na population ni dhahiri Urusi inaweza kumezwa pole pole na wimbi la wahamiaji toka uchina ambao kwao ardhi haiendani na wingi wao… pia pamoja na uchache wao wanaume wengi warusi wanakufa mapema kutokana na ulevi uliopindukia na pia birth rate iko chini sana..
 
1Russian Ruble =0.02 usd =0.11 Chinese yuan =0.01 Pound Sterling(GBP).As of today(13/02/2018)
source coinmill.com
===
Jenga hoja yako sasa.
1000 usd = 57570.52 ruble nenda nyuma kabla ya mnyukano wa kimaslah ilikuwa ngap
 
1000 usd = 57570.52 ruble nenda nyuma kabla ya mnyukano wa kimaslah ilikuwa ngap
Mwishoni mwa mwezi Marchi,2018...China mnunuzi mkubwa wa nishati kuliko nchi yoyote duniani itaanza kununua bidhaa (mafuta na gasi) kwa ela yake. Kwa lugha rahisi ,China itaama kutoka Petroldollar kwenda Petrolyuan, pia yuko tayari kuifadhi ela yake kwenye dhahabu. Russia ni supplier mkubwa wa nishati na nimuuzaji mkubwa wa bidhaa hiyo huko Uchina. Hivyo biashara watafanya bila kupitia US dollar. Matumizi ya dollar yalikuwa silaha muhimu kuzinyanyasa nchi nyingine kivikwazo nakadhalika. Ni njia hii hata Venezuela amesema naye bora atumie cryptocurrency kuliko dollar kwenye kuuza mafuta yake.

Nimeeleza haya yote kukuonyeshakuwa...dollar siyo tija tena kwenye mzunguko wa fedha ya Russia. Na hili litaiangusha US vibaya sana.
 
Unstable countries need strong leaders.Ukiona nchi inaongozwa na one man show ujue haiko stable.Nchi iliyo stable huwa zinaongozwa na taasisi na mifumo imara.Russia,china zote ni unstable countries.Chunguza nguvu kubwa sana zinatumika kuzuia raia wasiwe na access ya habari zitazowafungua vichwa.Hii hali huwa haidumu,sababu kuna siku watu watachoka.Ndipo hapo nchi zinavunjika vipande vipande.Russian federation kuna baadhi ya majimbo Putin anatumia nguvu sana kuyatawala sababu wana mrengo tofauti na mawazo ya kutaka kujitenga,Majimbo kama Georgia ni vulnerable sana.Inahitaji power ya hali ya juu sana kuya contral.
Kama ilivyo mikoa ya kanda ya ziwa.
 
Mwishoni mwa mwezi Marchi,2018...China mnunuzi mkubwa wa nishati kuliko nchi yoyote duniani itaanza kununua bidhaa (mafuta na gasi) kwa ela yake. Kwa lugha rahisi ,China itaama kutoka Petroldollar kwenda Petrolyuan, pia yuko tayari kuifadhi ela yake kwenye dhahabu. Russia ni supplier mkubwa wa nishati na nimuuzaji mkubwa wa bidhaa hiyo huko Uchina. Hivyo biashara watafanya bila kupitia US dollar. Matumizi ya dollar yalikuwa silaha muhimu kuzinyanyasa nchi nyingine kivikwazo nakadhalika. Ni njia hii hata Venezuela amesema naye bora atumie cryptocurrency kuliko dollar kwenye kuuza mafuta yake.

Nimeeleza haya yote kukuonyeshakuwa...dollar siyo tija tena kwenye mzunguko wa fedha ya Russia. Na hili litaiangusha US vibaya sana.
Hoja in kuanguka kwa Russia na sio kuimarika kwa China. Kutegemea hydro- carbon products na mazingira mabaya ya biashara hakutaiacha Russia salama kiuchumi..
 
Hoja in kuanguka kwa Russia na sio kuimarika kwa China. Kutegemea hydro- carbon products na mazingira mabaya ya biashara hakutaiacha Russia salama kiuchumi..
mpaka hapa nawaachia wanaJF wengine wakueleweshe kama umeshindwa kuunganisha dots za kuimarika kwa China na Maendeleo ya Russia katika maelezo niliyokupa!!
 
mpaka hapa nawaachia wanaJF wengine wakueleweshe kama umeshindwa kuunganisha dots za kuimarika kwa China na Maendeleo ya Russia katika maelezo niliyokupa!!
asante mkuu kwa kujieleza na kujielewa bila kueleweka
 
Kwanza nakusahihisha,, Siitwi Purtin , naitwa Vladimir Vladimirovich Putin mtoto pekee niliyehai Wa bwana Vladimir Spiridonovich Putin ,nilizaliwa 7/10/1952 miaka mitatu baada ya vita pili yadunia

Nirudi kwa Mada yako.

Kwasasa njia pekee wanayotumia wamagharibi kujaribu kuniangusha ninjia ya "Destroy from within".

Wamagharibi walipofanikiwa kusambararishs U.S.S.R walifurahia sana , lkn baadae alisikika kiongozi mmoja akisema " Tulikosea kuiacha Urusi iendelee kuwepo. Sasa nilazima tuivunje vunje ili viwe vinchi vidogo Dogo".

Siunajua Urusi ndio nchi kubwa Dunia mpaka sasa. Yaaan kutoka upande Wa magharibi kwenda Mashariki kwa ndege nimbali kuliko kutoka Magharibi kwenda Washington DC.

Sasa njia wsnsyoitumis wamarekan nikunigombanishs na Matajiri wanchi yangu , ambao wanawwkewa vikwazo na kushikikiwa Mali zao,, SASA kwa hofu ys kupoteza utajir wao ,ndo wanaweza kuanza mikakti ya kuniondoa.

Kwakulijua ilo nmeawaomba

[emoji117]Warudishe mitaji yao nchini mwetu.
[emoji117]Naendelea kuhakikisha Magavana Wa majimbo wanakua nivijana wa Intelligence kutoka FSB n.k .

Lkn last but not least ,, mwaka juzi nmeanzisha jeshi maalumu LA ndani ,ambalo lipo responsible namambo yote yaulinzi wa silaha na aman na kupigana na waandamamaji ,,najeshi Hili Taarifa zake zinaripotowa moja kwa moja kwangu Mimi muda wowote.

Kuhusu Rais atakayefuata baada ya 2024 ,,, kweli nitakua nmezeeka ,ila bado itategemea na hali yangu ,, ila utambue,kuna kijana matata alikua Ndio Bodigadi Wangu , saizi nmemchagua kua mkuu wajesh landan ambalo kiuhalisia nilangu , huyu bwanamdogo "Alexey Dyumin" ,Misimamo yake nakwajinsi navyompa somo "Huenda nikamchagua aendelee kuongoza".
nahis 1952 ni miaka 7 baada ya vita ya pili ya dunia na co mitatu.
 
Putin lazima anamtengeneza mtu wake tayari husijedhani amezubaa tu kama haya madikteta uchwara ya huku....fidel castro alimuandaa mtu wake mapema ipo mifano mingi.
 
Nadhani seregei lavlov atamrithi Putin
 
Back
Top Bottom