Rushwa ya Ngono, UDSM: Baadhi ya Wahadhiri waanza kuhojiwa

to be honest, inabidi uwe\ulikuwa mwanafunzi wa UDSM kuelewa haya mambo.... Wadada wanajilengesha sana....kutwa wanashinda kwenye ofisi za lecturers...mara hawajaelewa walichofundishwa.....mara anaulizia kama lecturer aliacha assignment yote hii ili mwalimu alainike amtongoze.......I pity all the male lecturers out there!

Wala usiwatete mkuu, na wao wanatakiwa kusimama kwenye nafasi zao regardless of the situation. Wawachimbe mkwara kama watarudia tena...makosa mawili hayafanyi kosa kutokuwa kosa....
 
Lkn kwa nn wanawake mnajidhalalisha???!!! Rushwa ya ngono haipo chuo kikuu tu bali hata ktk ofisi za umma baadhi ya wanawake wamepata nafasi kwa rushwa ya ngono.
Hiyo ni hadi kwenye siasa, ni kwa sababu ya kupenda vya mtelemko. Ukipenda vya mtelemko, ukiwa mwanaume utaishia kuwa shoga.

Vv
 
Wanafunzi wenyewe ni kama huwa wanalazimisha waliwe ili wafaulishwe. Nenda kwenye vyuo mbalimbali utakuta mabinti wanavaa nguo ambazo nyumbani kwao hawawezi kuvaa,huo Mimi huona kama ni umalaya tu
 
Wala usiwatete mkuu, na wao wanatakiwa kusimama kwenye nafasi zao regardless of the situation. Wawachimbe mkwara kama watarudia tena...makosa mawili hayafanyi kosa kutokuwa kosa....
huezi kuelewa kama wewe sio mwananume....Only men understand how tempting that situation can be!
 
Hizi habari nyingine zunatuumiza, kama mm mdogo wangu wa kike kaanza IFM mwaka huu , eeh Mungu muepushe na manyang'au.
 
Lkn kwa nn wanawake mnajidhalalisha???!!! Rushwa ya ngono haipo chuo kikuu tu bali hata ktk ofisi za umma baadhi ya wanawake wamepata nafasi kwa rushwa ya ngono.
Its just so tempting....just imagine watoto wazuri wanaomba kufanya mazoezi kazini(field attachment)....Mimi nina deal na wanafunzi wanaotaka kufanya field hapa ofisini....sababu wako wengi kwa hiyo kigezo ni ngono japo kidogo
 
to be honest, inabidi uwe\ulikuwa mwanafunzi wa UDSM kuelewa haya mambo.... Wadada wanajilengesha sana....kutwa wanashinda kwenye ofisi za lecturers...mara hawajaelewa walichofundishwa.....mara anaulizia kama lecturer aliacha assignment yote hii ili mwalimu alainike amtongoze.......I pity all the male lecturers out there!

Kama mhadhiri ni rijali hakuna jinsi watoto wazuri wanajilengesha wenyewe...unafanyaje?
 
Watakao bainika kujihusisha na rushwa ya ngono na rushwa zinginezo kama pesa na kadhalika wachukuliwe hatua kali kama kusimamishwa kazi na kufukuzwa kazi mahakama ikijilidhisha na shutuma zinazowakabiri
 
Rushwa ya ngono ni kwa mabinti. Wahadhili wana lingine tatizo upande wa research. Proposal na research hukataliwa. Huwaelekeza wanafunzi kwa watu wa nje ambao malipo wanayotoza sehemu ni ya wahadhili.
 
Lkn kwa nn wanawake mnajidhalalisha???!!! Rushwa ya ngono haipo chuo kikuu tu bali hata ktk ofisi za umma baadhi ya wanawake wamepata nafasi kwa rushwa ya ngono.
Pamoja na baadhi ya wanawake kijirahisi kwa kiasi kikubwa, wapo mabosi au wanaotumia nafasi zao vibaya. Mambo ya rushwa ya ngono ipo sana Chuo cha Ufundi Arusha. Rushwa ya ngono hapa si kwa wanafunzi tu bali inafanywa na mabosi kwa wafanyakaz wa jinsia ya kike, ili mambo yao yaende vizuri.
 
Back
Top Bottom