Rushwa ya Ngono, UDSM: Baadhi ya Wahadhiri waanza kuhojiwa

Lkn kwa nn wanawake mnajidhalalisha???!!! Rushwa ya ngono haipo chuo kikuu tu bali hata ktk ofisi za umma baadhi ya wanawake wamepata nafasi kwa rushwa ya ngono.

Na wakipata wanakaa kimya inakuwa siri yake.
 
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi

Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo chuoni hapo ndio inayowahoji Wahadhiri hao ikiwa ni siku kadhaa baada ya mmoja wa Wahadhiri chuoni hapo kuripoti kuwa rushwa hiyo imekithiri

Inadaiwa kuwa baadhi ya Wahadhiri wao walikuwa wakifanya vitendo hivyo ndani ya ofisi zao za kazi, kinyume na maadili ya kazi na sheria za nchi

Wahadhiri wanaojihusisha na rushwa hiyo wanadaiwa kuta rushwa hiyo kwa miadi ya kuwasaidia Wanafunzi katika masuala mbalimbali ya kimasomo, hasa kwenye mitihani

Aidha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) imesema imepokea taarifa za kuwepo kwa rushwa ya ngono katika chuo hicho na kwamba tayari wameanza kufanyia kazi
Ni kupoteza resources bure. TAKUKURU ipi? Muulizeni Nassari! Kesi ya nyani imepelekwa kwa ngedere.
Hela italiwa na magoli ya 6x6 yatafungwa na hakuna kitu hapo!
Imefika wakati wafanye kazi bila kutangaza ili watu waone matokeo ya mahakamani au gerezani.
Aibu nyingine ni za kujitakia.
 
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi

Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo chuoni hapo ndio inayowahoji Wahadhiri hao ikiwa ni siku kadhaa baada ya mmoja wa Wahadhiri chuoni hapo kuripoti kuwa rushwa hiyo imekithiri

Inadaiwa kuwa baadhi ya Wahadhiri wao walikuwa wakifanya vitendo hivyo ndani ya ofisi zao za kazi, kinyume na maadili ya kazi na sheria za nchi

Wahadhiri wanaojihusisha na rushwa hiyo wanadaiwa kuta rushwa hiyo kwa miadi ya kuwasaidia Wanafunzi katika masuala mbalimbali ya kimasomo, hasa kwenye mitihani

Aidha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) imesema imepokea taarifa za kuwepo kwa rushwa ya ngono katika chuo hicho na kwamba tayari wameanza kufanyia kazi
Wasiwasahau walimu wa Economics wakike na wakiume wote huwa wanataka Rushwa ya ngono.
 
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi

Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo chuoni hapo ndio inayowahoji Wahadhiri hao ikiwa ni siku kadhaa baada ya mmoja wa Wahadhiri chuoni hapo kuripoti kuwa rushwa hiyo imekithiri

Inadaiwa kuwa baadhi ya Wahadhiri wao walikuwa wakifanya vitendo hivyo ndani ya ofisi zao za kazi, kinyume na maadili ya kazi na sheria za nchi

Wahadhiri wanaojihusisha na rushwa hiyo wanadaiwa kuta rushwa hiyo kwa miadi ya kuwasaidia Wanafunzi katika masuala mbalimbali ya kimasomo, hasa kwenye mitihani

Aidha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) imesema imepokea taarifa za kuwepo kwa rushwa ya ngono katika chuo hicho na kwamba tayari wameanza kufanyia kazi
Huwezi kumaliza tatizo dent anahitaji kufaulu ameshikwa pabaya unadhani atashindwa kutoa papuchi iyo kwa siku moja tu
 
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi

Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo chuoni hapo ndio inayowahoji Wahadhiri hao ikiwa ni siku kadhaa baada ya mmoja wa Wahadhiri chuoni hapo kuripoti kuwa rushwa hiyo imekithiri

Inadaiwa kuwa baadhi ya Wahadhiri wao walikuwa wakifanya vitendo hivyo ndani ya ofisi zao za kazi, kinyume na maadili ya kazi na sheria za nchi

Wahadhiri wanaojihusisha na rushwa hiyo wanadaiwa kuta rushwa hiyo kwa miadi ya kuwasaidia Wanafunzi katika masuala mbalimbali ya kimasomo, hasa kwenye mitihani

Aidha, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) imesema imepokea taarifa za kuwepo kwa rushwa ya ngono katika chuo hicho na kwamba tayari wameanza kufanyia kazi
Tunafeli sna kwani hili jambo lilitakiwa kuendeshwa kipelelezi zaidi kwa kuwahoji wanafunzi kisirisiri na kuwekea mtego wa kuwakamata hao wahadhiri lakini sio kutaka kufanya siasa ambazo hazitatatua tatizo ,yaan ww unawahoji wahadhiri unafikiri watakiri makosa yao au kutajana?
 
Hivi hawa Takukuru huwa hawatumii usafiri wa magari?huwa Najiuliza yanayojiri humo mabarabarani na Wale wajomba hawayaoni?? Mbona wapo kimya?
 
:p:pHiyo imepitiswa mzee huni wanavyotangaza kuongezeka kwa mapato ya fine
 
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
Sasa mtakapoona Wanagraduate wanaume Tu na wanawake rate ya kudisco imeongezeka msijekuja mbio mbio mnaanza kusema wanao newaa!!Haya mambo bhana...wanawake wengi wana degree cha Kuvua Chupi HUO NDO UKWELIIII...ASILIMIA 90 WANAVUA CHUPII...
 
Back
Top Bottom