Rushwa ya ngono secta ya elimu Arusha

kansije

Member
Sep 16, 2010
50
10
Kuna mkuu wa shule moja inayomilikiwa na kanisa maarufu maeneo ya katiti arusha hawezi kumwajiri mwl. Wa kike hadi afanye nae tendo la ndoa, inasikitisha sana ukizingatia shule yenyewe inamilikiwa na taasisi ya kidini
 
Kweli hili ni tatizo.Lakini kitu kinachonishangaza sana ni hao wanawake wanaofanyiwa ujinga huu wanakaa kimya hawafichui ushenzi huu ili wahusika washikishwe adabu. Ni woga au aibu jamani? Naomba Lizzy, Kongosho na wengineo wachangie hili
 
Kweli hili ni tatizo.Lakini kitu kinachonishangaza sana ni hao wanawake wanaofanyiwa ujinga huu wanakaa kimya hawafichui ushenzi huu ili wahusika washikishwe adabu. Ni woga au aibu jamani? Naomba Lizzy, Kongosho na wengineo wajibu
Mtoa mada naye amekuwa muoga au aibu sijui? Shule moja ndo shule gani? Mwaga kila kitu hapa
 
Kwa hiyo wanawake wote waliopo hapo wamepitiwa na mwl huyo? Acha ubabaishaji,shule ya kanisa,jina je? Dadavua tafadhali
 
Iweke waaz,au ni Shule ya Sekondari Kikatiti inayomilikiwa na KKKT? Nadhan kwa upande wa kikatiti ndo hyo inayomilikiwa na taasisi ya dini!
 
Nadhani ni ile shule inayo milikiwa na KKKT iliyopo juu ya soko la zamani la KIKATITI au co mkuu?

Afu acha woga au hujui MFICHA UCHI HAZAI mkuu? Kiweke wazi kinyamkera hicho kinacho chafua shule iyo pamoja na kanisa kwa kuenezu huo UFUSKA.

Pliiiz mkuu ucpalilie nidhamu ya woga, mweke wazi wanaharakati na watetezi wa utu tupo tayari kwa ajili ya UKOMBOZI WA KWELI.

DAMU ya mtanzania halisi iletayo MATUMAINI na FARAJA palipo na MAJONZI na KILIO.
 
Iweke waaz,au ni Shule ya Sekondari Kikatiti inayomilikiwa na KKKT? Nadhan kwa upande wa kikatiti ndo hyo inayomilikiwa na taasisi ya dini!

Shule ndo hiyo hiyo ya kikatiti na sehemu yao yakukutana inaitwa royal hotel
 
kazi za ualimu zimejaa kila mahali, huyo mwanamke anaevua nguo ya ndani ni malaya
 
Back
Top Bottom