Rushwa ya ngono inataka kuniharibia mtoto

Rushwa ya ngono inataka kuniharibia mtoto

Namkumbuka star mmoja wa bongo movie jina lake linaanzia na S alitaka nimnunulie simu ya 1.5mil nikamjibu huna hadhi hio. Basi alinitingishia makalio yake nilikula kwa macho tu. Lakini 1.5mil sijaitoa kwa one night stand.
 
Nadhani binti hajitambui kutokana na ulimbukeni wake anashindwa kutambua thamani yake ipo wapi pia hajui afanye nn kwa wakati gan......... ndio vijana wa mwendo kasiii
 
Hebu tuma picha yake tuiangalie kama anaendana kweli anafaa au anadanganywa tu.
 
Hivi vitamaa vya vitu vidogo vidogo vina wamalize hawa wadada akipewa smartphone, hela ya kubadili viatu na skin jeans aaah habari kwisha hapo una kazi kumtoa huko itakuwa ngumu kidogo
 
mechi itachezwa lin ili nibeti???
 
ahaaa basi kilamtu anavuna anachopanda....mwacheakgegedwe akawes tar kama wolper, wolupa, siwema, na aunti zekeilau hata iluluu...shmusan fordi na wengine..anataka hizo fantasy ....ilaakili zake bado hazijajua real life na fantasy life.......we mshauri ilamaamuzi afanye yeye....
 
Huyo anatafuta usupastaa.Ungetutumia picha yake tungeweza kutoa maoni kama atafanikiwa au la.Ila ajiangalie kwani anaweza kuishia na ki zygote tumboni au hata magonjwa.Asiingie mjini kwa pupa
 
umesema kigezo ni umbo lake...ana mkia?...ana kotaaaa?....maana mjini sikuhizi kotaaa ndio kigezo sura hata mbuzi wanazo.
 
MIAKA 22 NI MTU MZIMA HAPO ANAUWEZO WA KUTAMBUA ZURI NA BAYA NINACHOKUOMBA NI KUMUACHA AFANYE ANACHOWEZA KUFANYA MAISHA HUWA YANAFUNDISHA SANA ATA UKIMSEMA USIMSEME KWA KUMKASIRIKIA NA KUAKIKISHIA ATAKUJA KUKULILIA KUWA KAMA ANGEKUSIKILIZA YASINGEMKUTA HAYO YATAKAYO MKUTA HAPO MBELE
 
Kama hasikii muache tu Dunia impe fundisho maana hapo anaenda kupata shombo la huyo mzee na kutemwa maana ukiangalia mademu wengi wa bongo movie w amekua wadananda tu hawana mbele wala nyuma ngoja kwanza babu acheze na nyavu.ipo siku atakufata na kukuomba msamaha na kujutia maamuzi yake.
 
Babu anatumia kitu cha kongo dogo ataipenda tu...
 
Mimi ni mama yake mdogo
Huyo mzodoe, mwonyeshe mifano ya meneno ya watu mbali mbali wasanii waliyowahi kusema kuwa waigizaji wa filamu za kibongo ni full kujiuza, tafuta matamshi wa yule dogo mzuri aliyewahi kudedisha mwalimwake
 
Umechelewa sana huyo kashaonja dyudyu na hawezi kurudi nyuma mpaka yakimkuta yakumkuta,
 
Back
Top Bottom