Rushwa ya ngono inataka kuniharibia mtoto

Rushwa ya ngono inataka kuniharibia mtoto

Huyo sio mtoto tena, bali ni mkubwa mwenzio aiseeee.
Lakufanya mshauri kile unacho amini wewe kwamba ni sahihi, lakini pia mpe nafasi ya kumsikiliza kike anacho amini kwa sasa.
Pima uzito wa yale utakayo yasikia toka kwake, na kisha mueleze kile unacho kiamini na usiyumbe kwenye msimamo wako.
Kisha.....
Malizia kwa kumpa nafasi ya kuchagua ushauri wako au kile anacho kiamini yeye.
Alafu......
Usisahau kumpa option ya kuondoka kwako ikiwa ataamua kuchagua maamuzi yake.
Mwisho mwambie, KARIBU TENA
 
Sasa we una mamlaka gani juu ya mtu mwenye zaidi ya miaka 18 zaidi ya kumpa ushauri ambao ni dhairi keshaukataa!

Fuata mambo yako, mwache mtoto wa mwenzio ajifunze kwa vitendo.
 
Huyo sio mtoto tena, bali ni mkubwa mwenzio aiseeee.
Lakufanya mshauri kile unacho amini wewe kwamba ni sahihi, lakini pia mpe nafasi ya kumsikiliza kike anacho amini kwa sasa.
Pima uzito wa yale utakayo yasikia toka kwake, na kisha mueleze kile unacho kiamini na usiyumbe kwenye msimamo wako.
Kisha.....
Malizia kwa kumpa nafasi ya kuchagua ushauri wako au kile anacho kiamini yeye.
Alafu......
Usisahau kumpa option ya kuondoka kwako ikiwa ataamua kuchagua maamuzi yake.
Mwisho mwambie, KARIBU TENA

Asante kwa ushauri
 
Jamaa kasema atambadilishia maisha yake, Yawe vipi labda????
 
unapoteza muda wewe,,,,, ila nakaonea huruma bado hakajui utamu,,, kakiujua utamu keshakuzalia hapo vijukuu kibao.....mie niliishi na watoto wa dadangu wawili,,, niliwasainisha makubaliano....fanyeni madudu yenu mimba au ukimwi ntakuhudumia ukiwa kijijini.... mpaka leo wameolewa wanakumbushia jinsi walivyoipokea ile agreement.....so wewe ushachelewa......
 
Pole sana, najua unaumia kwa kiasi gani.

Unajua Kuna kitu wanasema kizazi, watu waliozaliwa miaka ya hivi karibuni ni kizazi tofauti kidogo na siku za nyuma. Wengi wanaamini kufanikiwa kwenye maisha ni kujulikana.

Uandikwe kwenye magazeti na majarida. Upate "followers" kwenye mitandao ya kijamii. Hawajali hata kama yote haya yatafanikiwa kwa gharama ya "PAPUCHI KUOTA SUGU".

Asiefunzwa na wazazi ulimwengu humfunza.
 
Wasichana wa siku hizi wana roho ngumu sana. Hawamungunyi maneno, msichana anamtamikia mlezi wake ana mpango wa kutoa rushwa ya ngono!
 
Unadhani anataka kazi basi hao wasichana wa sasa hivi wanataka kujulikana tu sio lingine kama huamini muulize analipwa shingapi na akilipwa mwambie akuonyeshe
 
Mzee ana kibamia, goli moja miguu juu...chali xo usiogope kabisa.
 
Unadhani anataka kazi basi hao wasichana wa sasa hivi wanataka kujulikana tu sio lingine kama huamini muulize analipwa shingapi na akilipwa mwambie akuonyeshe
We acha tu, juzi alinimbia anenda kuchukua mkataba, nikamuuliza watakulipa mshahara shilingi ngapi, akasema yoyote tu watakayonipa. Sijui kapatwa na kitu gani, hasikii wala haoni.
 
hana msaada zaidi ya maombo.hatua nyingine mrudishe kwa wazazi wake ili aondokee huko huko kwenda kuigiza
 
Mi naomba tarehe na mahali kwa ajili ya ''Premiere''...
 
Back
Top Bottom