Rushwa wazi wazi Barrick

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Ni wawekezaji,ambao waliahidi kutoa fursa sawa za ajira kulingana na fani ya muombaji,lakini hali si shwari migodi ya barrick hasa buzwagi na bulyanhulu...rushwa iko wazi bila pesa kazi hazipo,wanatangaza magazetini kila kukicha lakini kwa uhalisia barrick wameendekeza rushwa sana,tumefika hapo,tumekaa hapo muda mrefu imefikia hatua mtu anakuambia ni kiasi gani cha pesa utatoa ili kupata nafasi fulani,mfano kama kazi ina mshahara wa laki 8 kwa mwezi utatakiwa kutoa rushwa ya million moja,na watakupa mkataba wa miezi sita,ukihitaji kuendelea utatakiwa kulipa millioni tena,kwa ujumla migodi ya barrick hasa buzwagi na bulyanhulu imetapakaa rushwa,kazi inayohitaji mtu wa digrii utamkuta form four kigezo ni kwamba alitoa rushwa:Wanao husika hususani TAKUKURU tembeleeni maeneo hayo nendeni kijiji cha kakola,bugarama,ilogi na mwingiro halafu waulizeni wananchi suala hili watawaambia sababu ni jambo ambalo sasa limekuwa ni kama utamaduni..kama wapo humu wanaohusika waje wakanushe.
 
msoteaji una maneno mengi...vumilia utafanikiwa na kama hukufanikiwa mwime au buly toka huku nenda kwingineko, utafanikiwa tu kukosa ni jambo la kawaida na unapokosa isiwe ni chanzo cha kutoa shutuma zisizo na usahihi wowote...!
 
Ni mgodi upi uliomba kazi wakaomba rushwa?je huyo mtu aliyeomba rushwa una uhakika ni mhusika idara hr weka wazi
 
msoteaji una maneno mengi...vumilia utafanikiwa na kama hukufanikiwa mwime au buly toka huku nenda kwingineko, utafanikiwa tu kukosa ni jambo la kawaida na unapokosa isiwe ni chanzo cha kutoa shutuma zisizo na usahihi wowote...!
msemaji kasema coz kashuhudia!! sasa we unasema shutuma kivipi? una ushahidi kwamba hakuna rushwa?
 
TAKUKURU wenyewe wanapokea rushwa halafu unawapelekea malalamiko unategemea nini. Kesi ya ngedere kuiba mahindi unampelekea nyani akasuluhishe? kituko! Kuna haja ya sisi wenyewe raia kuthink beyond normal, yanatakiwa maamuzi magumu tuamue.Mungu atatushindia tukimuomba.
 
Kwa sasa rushwa imekuwa kama imeshahalalishwa hapo bongo maana anaepewa kazi ya kuzuia rushwa nae ni mpokeaji rushwa.
 
kama CHIEF wetu ni mwizi/anapokea rushwa kwanini sie raia wake tusiige mfano!!! Kuna ushahidi kuwa CHIEF aliwahi kuiba ubwabwa alipokuwa jeshini Ruvu mwaka 1972!!!
 
msemaji kasema coz kashuhudia!! sasa we unasema shutuma kivipi? una ushahidi kwamba hakuna rushwa?
tuhuma bila uthibitisho zina gharama sana...zimewagharimu hata wale walio na ajira ndani ya barrick...mtu anaanzisha tuhuma zisizo na mbele wala nyuma na anazifikisha mpaka kwamzungu hatimayake mfanyakazi mwenzake anafukuzwa, ni wakati sasa watanzania kuacha kuongea sana, kama una jambo nyeti kama hilo liweke wazi ili iwe suruhu ya tatizo kwa watanzania wengine watakaomba kazi wasiangukie kwenye mtego kama huo...
kwa kuanza hebu awasiliane na takukuru na nuani nimeiambatanisha hapo chini watampa ushirikiano...kulalamika haitompeleka kokote
By Post: Director General, Prevention and Combating of Corruption Bureau, P O Box 4865, Dar es salaam
By Email:dgeneral@pccb.go.tzThis email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
By Fax: 255 22 21 50047
By Phone: +255 22 21 50043-6 or Toll Free Number 113

In Person: At the nearest PCCB Office
asiwe na wasiwasi utambulisho wake utahifadhiwa...ni itabaki kuwa ni siri
nawasilisha.
 
Naomba msaada wa hali na mali nipate kwenda chuo nimemaliza kidato cha sita mwaka jana 0762612213
 
tuhuma bila uthibitisho zina gharama sana...zimewagharimu hata wale walio na ajira ndani ya barrick...mtu anaanzisha tuhuma zisizo na mbele wala nyuma na anazifikisha mpaka kwamzungu hatimayake mfanyakazi mwenzake anafukuzwa, ni wakati sasa watanzania kuacha kuongea sana, kama una jambo nyeti kama hilo liweke wazi ili iwe suruhu ya tatizo kwa watanzania wengine watakaomba kazi wasiangukie kwenye mtego kama huo...kwa kuanza hebu awasiliane na takukuru na nuani nimeiambatanisha hapo chini watampa ushirikiano...kulalamika haitompeleka kokote By Post: Director General, Prevention and Combating of Corruption Bureau, P O Box 4865, Dar es salaamBy Email:dgeneral@pccb.go.tzThis email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it By Fax: 255 22 21 50047By Phone: +255 22 21 50043-6 or Toll Free Number 113In Person: At the nearest PCCB Officeasiwe na wasiwasi utambulisho wake utahifadhiwa...ni itabaki kuwa ni sirinawasilisha.
Asante kwa msaada huu
 
msemaji kasema coz kashuhudia!! sasa we unasema shutuma kivipi? una ushahidi kwamba hakuna rushwa?

Hii post imekaa kimajungumajungu na ni stori za kawaida kw wasoteaji Buly na Buzwagi wanakosotea.Cha muhimu kujua ni kuwa hiyo migodi ina limits zake na vigezo vya kuajiri but in actual fact kila mtu aliye na cheti cha form four aliye meneo hayo anaamini kuwa anapaswa kupata ajira kitu ambacho si practical na yanapotokea haya watu wanatake refuge na kujifariji kuwa lazima utoe rushwa ndo upate ajira
 
tuhuma bila uthibitisho zina gharama sana...zimewagharimu hata wale walio na ajira ndani ya barrick...mtu anaanzisha tuhuma zisizo na mbele wala nyuma na anazifikisha mpaka kwamzungu hatimayake mfanyakazi mwenzake anafukuzwa, ni wakati sasa watanzania kuacha kuongea sana, kama una jambo nyeti kama hilo liweke wazi ili iwe suruhu ya tatizo kwa watanzania wengine watakaomba kazi wasiangukie kwenye mtego kama huo...
kwa kuanza hebu awasiliane na takukuru na nuani nimeiambatanisha hapo chini watampa ushirikiano...kulalamika haitompeleka kokote
By Post: Director General, Prevention and Combating of Corruption Bureau, P O Box 4865, Dar es salaam
By Email:dgeneral@pccb.go.tzThis email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
By Fax: 255 22 21 50047
By Phone: +255 22 21 50043-6 or Toll Free Number 113

In Person: At the nearest PCCB Office
asiwe na wasiwasi utambulisho wake utahifadhiwa...ni itabaki kuwa ni siri
nawasilisha.
Ni kujidanganya eti jina litakuwa siri utoapo taarifa Takukuru!Ukiamua kutoa uwe tu kama mtu aliyevaa mabomu yakilipuka unakwenda nayo,ila waliobaki watapata funzo!Kama inavyosemwa,hao hao unaowapa siri watampelekea muhusika tuhuma na kumwambia ni nani kasema ili wakatiwe mshiko!Ni hatari sana kaka.Takukuru hawaaminiki!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom