Habali za mihangaiko wakuu. Kumekuwa Na tatizo la ajira tangu 2016 Na kila zikitolewa ni za mafungu vijana tunajikunja kutuma maombi lakini wahitaji wanachaguliwa wachache ,nlishitushwa Na wimbi kubwa la watu waliodawload vyeti vya fani Na kukuta wamekuwa kwenye list ya waliopangiwa vituo nkata taka kujua ,wamepata wapi uthubutu huo kuja kujua walito mpunga kupata ajira.