Rushwa ,rushwa ,itatuua tu watanzania jamani........................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa ,rushwa ,itatuua tu watanzania jamani........................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by harakat, Jun 8, 2012.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Jana nilikua nimeshalala ghafla mida ya saa sita hivi usiku
  nikasikia mlio wa risasi nje .kumbe kwenye kagrosary ambako
  kako attached na nyuma yetu kalikua hakajafungwa bado
  sasa wakavamia wezi pale sehemu wakachukua deki cm ya
  mteja na muuzaji na mteja huyu alipokua anajisalimisha kwa kukimbilia
  counta alipigwa risasi ya kiuno na ile risasi ilitoka na kumuingia yule dada
  ikabaki kwenye sehemu ya chini ya kiuno kidogo upande wa kulia .
  usiku huo tukaita polisi wakaja kwenye saa nane na nusu hivi ambapo
  walikuta tayari wale waliojeruhiwa wameenda kituoni ili wapewe PF3 na
  kutibiwa hospitalini.
  Yule polisi mmoja akasema kwa sasa hivi Arusha imekua na matukio mengi kwani
  msamaha wa Rais watu wanahonga na wanaachiwa watu ambao hawastahili kwa
  kwa hiyo wanaostahili msamaha hawaachiwi badala yake wanaachiwa wale waliotoa rushwa

  kwa namna hii ni hatari sana kwa taifa letu kiusalama.
  Nawasilisha
   
 2. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo rushwa ni kweli ipo na mimi nimeshashuudia jambazi sugu akitolewa kwa msamaha wa raisi sasa sikujua ni kwanini ila nilipoulizia nikaambiwa noti inaongea!! polisi wetu tunawaomba msifanye kitu hiki maana ni hatari kwa raia.
   
 3. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Yah inamaana hapa kuna matu alikua atoke jina likabadilishwa akatolewa huyo jambawazi
  na ndio hicho huyo afande alikua ananiambia sasa nitakua nawahi kulala maana kiusalama
  ni hatari .
   
 4. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Polisi gani hapa inaongelewa.. ya Tz, hii hii tuijuayo au nyingine, kwani TZ kuna POLISI?, Kuna TAKUKURU?, kuna USALAMA wa TAIFA.. .. MH.. Tafakari.. chukua hatua, jilinde mwenyewe..
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Na jana nimegundua kumbe mi ni muoga sana baada ya kusikia huo mlio wa bastola
  nilikua naogopa kwamba wale jamaa wangeingia ndani kusachi chumba kimoja kimoja
  lakini la wakaondoka zao.
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  sasa kama ndio hivy serikali iangalie kwenye mitaa yetu watu tumilikishwe
  vyamoto maana ni hatari ukisikia imelia tu unaanza kuficha laptop uvunguni cm
  unazima unaweka kimeo pale fedha unazigawa maana ni hatari mi nataka
  ikiwezekana nipatiwe kifaru kiwe kinakaa geto na mabomu ya kutosha.
   
Loading...