TANESCO Dar es salaam fuatilieni muenendo wa wafanyakazi wenu wanaotembea na lile lorry double cabin la kijani hasa likiwa maeneo ya Tandale/Sinza mtashangaa.
Trust me they make more money than your Regional Manager

Jitahidini katika swala la umeme kukatikakatika, nipo hapa Kawe tangu asubuhi hakuna umene. Nategemea saluni yangu kulisha watoto wangu, leo watakula nini? Na mwekezaji kutoka nje atafanyaje. Msimuangushe JPM katika nchi ya viwanda.