Rushwa mpaka home!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!
 
Ama kweli, mtoto wa nyoka ni nyoka tu!
 
TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!

Mkuu zenith, nawewe kamata buku kumi uache kutuumbua.
 
TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!

ni kitu ambacho kamwe hakitaweza kutokea chini ya hili jua
 
nipe lakini uwe unajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…