Ama kweli, mtoto wa nyoka ni nyoka tu!TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!
inafurahisha au kusikitisha?
TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!
TRAFIKI KWA MWANAE;Wewe mtoto mjinga kweli,kwanini kwenye mtihani wa Hisabati umepata marks chini ya Hamsini?.>>>> MTOTO WA TRAFIKI;Kausha dingi,hebu kamata buku tano yaishe basi!
Inafurahisha au kusikitisha?
Inafurahisha au kusikitisha?