hnp
JF-Expert Member
- Dec 4, 2020
- 276
- 475
Habari za saiz wadau,
Hivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF?
Karibu tujadili.