Rushwa kwenye sensa

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
kuna taarifa tumepata makarani wa sensa wanadai rushwa ili uhesabiwe'jamani rushwa mpaka kwenye sensa tutafika?

Tunaomba serikali ya ccm imulike hilo na kuchuka hatua
 
Mbona haiingi akilini? Hebu eliza vizuri.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!??????????????
 
yaani tumefanya rushwa kama sehemu ya maisha yetu
 
Aliyetufikisha hapa ni huyuhuyu ccm
 
Afadhali iwe hivyo ili sababu zangu za kutohesabiwa ziongezeke
 
Hayo mie hayajanikuta maana ningepata sababu..ila wana maswali yao yanaboa kweli kweli like Umeshatahiriwa?
 
Khaaa! Jamii forum ndipo ulipofikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…