asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo unajua leo
hata vijiwe vya taxi..anapewa dereva watajuana na afisa baadae
waacheni wanywe hata maji jua kali sana saivi
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa,eti anapiga mahesabu na daftariNenda pale Makumbusho barabara ya kuingilia daladala kutokea posta , rushwa wazi wazi na haitokaa uamini ... Umewahi kuona traffick ana kidaftari anapiga mahesabu ? Nenda hapo ujionee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii style Ndo nimeona leo mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti we noma na nusu mkuunishamatwa sana bahi, ukitembea na 49 unaambiwa 59 yaan ktk kibao cha 50 tembea na 30 wakat huo unaenda Goma sasa hiyo 30 ktk kila kibao cha 50 utafika lini? hawa jamaa nawachukia sana sasa kuna siku wamenisimamisha niko na 30 nikasema leo wananitafta shar lakini bahat wakawa wanaomba lifti. nikawabeba waliikuwa wanarudi dodoma mm kama kawaida nikaanza kutembea na 30 wamevumilia ule mwendo mwisho kile kidada kikasema hii gari mbovu? nikamwambia nzima, wakasema sasa mbona hutembei nikamwambia kuna tochi mbele akasema we tembea na mia nikamwambia njoo uendeshe wewe nikamsindikiza na tusi..alaf ndio nikamtolea vikaratasi vi nne ambavyo vyote ni yeye ndio aliniandikia fine nikamwambia kama kuna mtu nataman atangulie mapema kufariki ktk dunia hii ni yeye na kisha nikasimamisha chuma nikamshusha, yaan nilimwambia tu kirafiki naomba ushuke na usije kuizoea hii gari