Wana Jf, Nimepigiwa simu na rafiki yangu kanieleza kuwa kuna nafasi serikalini ambayo ipo wazi kati ya nafasi hizi walizozitangaza hivi karibuni na kwamba nahtaji tutoa 1.5million, ili niweze kupata hiyo nafasi.
Kusema ukweli mm nipo tayar kutoa hyo fedha kulingana na ukosefu wa ajira, ila sijapata uhakika kuwa nikitoa hyo pesa kazi nitapata, japo jamaa kaniambia ni uhakika 100%.
tafadhar ambaye alishawahi kufanya hivyo au mwenye taarifa na uzoefu juu ya hilo naomba anisaidie.
ikiweekana ani PM namba yake tuweze kuwasiliana.
Naogopa kuingizwa mjini
Inawezekana bro. kwani najua watu wengi ambao wamepitia hiyo njia pala utumishi na wamepata kazi za uhakika. But unakiwa kuwa macho.
Siyo Kwa Serikali Hii Ya Sasa Ya Awamu Ya 5 Ya JPM. Tena Nyie Watendaji Kuweni Makini Mno Na Uongozi Huu MTAUMBUKA Na HAMTOAMINI Macho Yenu. Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati Ya MSUBI Na MKWERE Shauri Yenu.
ulikua unasubiri nini mbona mtaji unao wakutosha,,,watanzania bwana,,,,wako radhi watoke saa 11 asbh warudi saa tano usiku kisa anafanya kazi posta wakati kazi yenyewe hamlipii mateso anayopata,,changanya akili wacha uvivu wa mawazo
mpe biz plan, mjasiriamali.