Rushwa ni Rushwa. Hapa naongelea tunu iliyoharibika. Prof. Anna Tibaijuka na CV nzuri sana ambayo ingesaidia kuikomboa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla. Ila Rushwa ikamuaribu. Inasikitisha sana...hiyo rushwa ni kubwa kuliko ya Dp World?
Aliamua kupumzika tu. Ile hela ya mboga tu haiwezi kumsumbua maana haikuwa fedha ya umma!Rushwa ni Rushwa. Hapa naongelea tunu iliyoharibika. Prof. Anna Tibaijuka na CV nzuri sana ambayo ingesaidia kuikomboa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla. Ila Rushwa ikamuaribu. Inasikitisha sana.
Wasomi wa Tanzania kama huyu Tibaijuka ni very overrated.Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Kikwete alisema, Hizo pesa siyo za serikaliBila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Umeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.Wasomi wa Tanzania kama huyu Tibaijuka ni very overrated.
Nilimsikiliza last week kahojiwa na Wasafi Media.
Wakamuuliza kuhusu kuandika vitabu, anasema aandike atasoma nani sasa?
Yani katika usomi wake wote, hajaweza kufikiri kuandika for posterity, anaona kuandika ni kwa ajili ya watu wa sasa tu.
Nikasema hawa ndio ma profesa wetu, wasomi!
kama kuna kaukweli hiviWakamuuliza kuhusu kuandika vitabu, anasema aandike atasoma nani sasa?
That is irrelevant to my point.Umeamsoma lakini? Prof. Anna ni professor wa kweli siyo hizo honorary degree za wengine.
Prof. ameandika vitabu kadhaa mfano ni Building Prosperity na Strategies for Small Agricultural Development in West Lake Region.
Kiranga ambacho huwelewi ni kwamba hana confidence ya kuandika kuhusu maisha yake coz yaliharibika. Siyo kwamba hawezi kuandika, ila tu anaona ataandika uongo au akubali kujichoresha ili atoe funzo kwa wengine.That is irrelevant to my point.
My point ni kwamba kaulizwa aandike kuhusu maisha yake, akasema aandike atasoma nani?
Kwanza wa kusoma tupo. Mimi sasa hivi nasona kitabu cha Mwapachu kimechapishwa mwaka jana. Kwa hivyo watu wa kusoma tupo.
Halafu pili, msomi kama yeye anatakiwa kujua kuwa kuandika ni kuweka record for posterity, hata kama watu wa kusoma hawapo, miaka ijayo watasoma tu.
Tunatofautiana standards.
That answe was ignorant. Especially from a professor.
View: https://youtu.be/KgbOViJnBfA?si=bij_D5-ZIi60CSbB
Kwanza wasomaji tupo.kama kuna kaekweli hivi
Kuna vitu anaficha. Na vinajulikana wazi.Kwanza wasomaji tupo.
Mimi nasoma kitabu cha Mwapachu kimechapishwa mwaka jana. Kika mwaka naletewa vitabu kutoka Tanzania angalau mara mbili.Nimesoma vitabu vitatu vya Nyerere vya Issa Shivji, Ng'wanza Kamata, na Saida Yahya Othman. Nimesoma "From Goatheard to Governor" cha Edwin Mtei. Nimesoma "Mzee Rukhsa" cha Mwinyi. Nimesoma "My Life My Purpose: A Tanzanian President Remembers" cha Mkapa.
Hivyo vya mwaka mmoja au miwili tu iliyopita, vinavyojulikana sana kuhusu Tanzania.
Kwa hivyo, wasomaji tupo.
Zaidi, wasomi hawaandiki kwa watu wa sasa tu, wanaandika kwa vizazi vijavyo.
Maana yake, kauki ya Profesa Tibaijuka kwamba aandike nani atasoma, ni kauki ya mawqzo mafupi. Katika hiki Tibaijuka ama hataki kuandika kwa kuficha vitu fulani, ama ana mawazo mafupi haeleqi kuwa msomi anaandika for postwrity hata kama leo hakuna wasomaji, miaka 20, 30 50, 100 kut9ka keo, watu watasoma tu.
Hili nalielewa na nimeligusia hapo juu kwenye post namba 14 kabla ya kusoma post yako.Kiranga ambacho huwelewi ni kwamba hana confidence ya kuandika kuhusu maisha yake coz yaliharibika. Siyo kwamba hawezi kuandika, ila tu anaona ataandika uongo au akubali kujichoresha ili atoe funzo kwa wengine.
Nimelitaja hili awali tangu post 14.Kuna vitu anaficha. Na vinajulikana wazi.
Mbona naambiwa katika mkoa wa Kagera, wilaya ya muleba ndiyo tajiri yenye maendeleo makubwa sana: utadhani uko ulaya.Muleba kwenyewe hawana faida nae bora apumzike salama
Chumvi ikisha haribika itiwe nini tena ili ikolee zaidi ya kutupwa nje na kukanyagwa?Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani.
Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa kazi wake na elimu yake, wanamuleba wakamuamini awe mwakilishi wao. Kuchaguliwa kuwa mbunge kukampa nafasi ya kupata Uwaziri. Madudu aliyoyafanya huko hata yeye mwenyewe nafsi yake huwa inamsuta. Sakata la TEGETA ESCROW likamuumbua sana hadi anakosa namna ya kujitetea. Akajawa na kibri na Mungu akaona amuweke nje ya siasa.
ANNA NI TUNU ILIYO HARIBIKA.
Uroho tu.wiki iliyopita kama sikosei nilimsikia akihojiwa pale clouds fm, yule mama anavyoelezea yanayoendelea huko serikalini hata kama ingekuwa mimi niko kwenye umri wake ningefanya hayo unayoyasema kayafanya nimalizie maisha yangu hapa duniani ,tatizo la hii nchi ni mfumo, .wenye taaluma zao hawapewi nafasi ya kusikilizwa anasikilizwa zaidi mwanasiasa,