Rushwa ilikuwepo awamu ya kwanza lakini

Rushwa ilikuwepo awamu ya kwanza lakini

Njilembera

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2008
Posts
1,496
Reaction score
610
Ni jitihada za mtu binafsi, kiongozi zinazoweza kuanzisha vuguvugu la vita ya rushwa. Mnaokumbuka enzi zile za azimio la Arusha tulikemea USIWE KUPE JITEGEMEE na hii ilitokana na Nyerere, kama anavyoeleza kwenye clip hii.

YouTube - Nyerere Rushwa

Ni lazima tuwe wakali, sio kutoa misamaha eti kwa kuwa wanarudisha!
 
Hakuna crime yeyote isiyokuwepo wakati wowote..Na ndio maana zinatungwa sheria ili zifuatwe. Hizi hadithi za viongozi wa CCM kila mara kusema ati hata Ulaya kuna Ufisadi kama ndio njia ya ku justify ufisadi nchini ni lazima zipigwe vita vibaya sana.
 
Back
Top Bottom