Mundu Lunda
Member
- Nov 21, 2011
- 32
- 2
Tafadhalini sana ndugu zangu wanajf, nimezungukwa na "rushes" machoni kwa muda wa miaka zaidi ya kumi sasa japo haziwashi lakini zinaongezeka na kiukweli uso unaharibka mwenzenu. Sasa naomba kujuzwa ni wapi naweza mpata specialist wa magonjwa ya ngozi kwa mkoa mwanza? Natanguliza shukrani za dhati kwenu.