Rupia: Hazina ya Mjerumani

Maroa Dave,,,, jitahidi sana kupunguza kukaa vijiweni na kuulizia elimu ya haya utakwama sana sana,,,ungeuliza kwa kidogo ningekusaidia kukufafanulia.
 
KENYA kuna soko kubwa sana la hii biashara
Lakini kupata muuzaji halisi ndio balaa
Kumejaa matapeli
 
NI shida
 
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
Eneo gani mkuu tuje tufukue mali za mjerumani zisizo na tozo.
 
Yupo mzee aliniambia kua Kuna mzigo wa kutosha lkn hawawezi kuutoa anasema wapo wataalam wanaotoa bila kuchimba kwasababu kuna joka kubwa
mmmhhh kama ni kwenye mashamba ya mkonge sikatai lakini kama ni underground inawezekana kuwa ulishatolewa ....na kama unataka kuwa na uwakika na kazi husika make sure anayekupa taarifa basi amefika eneo hilo si zaidi ya siku 30 tokea leo na pia lazima akwambie ni hali gani amekutananayo eneo la tukio....
kila site ya mjerumani ina utoaji tofauti na nyingine ....haikuwahi kutokea na haitokaa itokee kuwa ilivyotolewa ike basi bi sawa na hii...

kwa ushauri wangu kwako hakikisha umejiridhisha kabla ya kutafuta mtendaji makin.
 
Vp mkandarasi wa kijerumani alifanikiwa kujenga?
 
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
mzee sio chai hii?
 
Haya mambo yapo ila Kuwapata hao wataalamu ndiyo kazi lakini kuwa makini na matapeli aisee
 
Kama Kuna mtu anajua namna ya kuzitoa yeye mwenyewe anichek
Kuna sehem Kuna msufi (miti iliopandwa na wazungu)
Kuna chuna kimekitwa kwenye huo mti ukigusa tu hicho chuma kunatokea mtikisiko au sauti ya kufoka.. kwakifupi Kuna mzigo wa maana hapo
Nipo
 
Maneno ya Kwanza ya kutamka unapofika sehem yenye rupia
Hodi hodi hodi sisi ni maskini nyie ni wafalme tumekuja kuwahamisha mrudi nyumbani hapa ni utumwani
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ si ndio ushirikina wenyewe huu?
 
hata Tanga wilaya ya kilindi, (kwediboma) nimeshuhudia stori kama hii, kwamba kuna mlima wanadai una hazina ya mjerumani ipo hapo sema kuna joka kubwa sana linalinda hazina hiyo.

N:B Sina hakika sana na mambo kama haya kama yana ukweli ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…