Yeyote atoaye kishetani/kishirikina basi hazifi nazo mbali na huingia kwenye kuyaabudu yale Madudu.....lakini mwenye elimu sahihi hatumii ushetani bali Codes kama kitu kinafungwa basi kinajinsi ya kufungua Issue ni Formula tu.Money+Mashetani=Rupia
Power+Mashetani=Rupia
Rupia Zipo but zilihifadhiwa kishetani na zinatafutwa kishetani na kazi kubwa ya kishetani
ipo 1/2 rupia na 1 rupia
hiyo 1/2 haina issue but 1 rupia ndio mzigo
even jama ipo mahali huchimbwa usiku, maana kafara hufanyika ili zichukuliwe,
ukikuta mtu anayo yenyewe afu eti anaiuza ujue michezo ya kitapeli
japo wapo wenye bahati huzipata pasipo ushetani wowote tena itakuwa ni moja.
but hufanya kazi nyingi sana za kishetani kutokana na nguvu iliyoko ndani yake.
all in all rupia ilihifadhiwa kishetani ili mtu yeyote asiione
so kama wewe kuipata hauna tofauti na mtu anaye tafuta mali kwa njia ya mganga vile
namfahamu mzee mmoja kwetu alitoa kafara ili wapate hizo rupia, then hakuzipata waziuze wanafanyia kazi zao za kishirikina tu.
mie naujua upande huo kidogo tu hapo
Kuna mengi Nick kuna uwezekano aliyekuwa antoa Mali yake alikuwa akitaka kumkabidhi Mwingine Mkono kwa Mkono wakati agano lake halipo hivyo...iliufanikiwe kuondoka na kitu cha kijerumani iwe ni toka saiti au kwa mtu lazima akisema anakukabidhi akiweke ardhini na wewe unaye kabidhiwa ukipokee kwa kukichukuwa tokea ardhini baada ya Mhusika kuwa na Utayari wa kutoa chombo chake.tofauti na Hapo lazima Kirudi tu.Hizi mambo zipo sababu kwa upande wangu nimebahatika kuzijua kwa msaada fulani ila sio mfatiliaji sana huwa siwekei maanani sana, kuna kikundi cha watu walikua wanatafuta sana hizi mali nilikutana nao lakini kwa muongozo niliona wana tatizo kidogo lakini sikuamua kujali sana nakumbuka mwaka jana nilijaribu kuwapelekea kitu kati ya vitu wanavyohitaji asee sisahau ile siku ilikua kila nikibeba kitu sifiki mbali kinarudi nyumba niliyofikia zaidi ya mara nne nilipata maelezo kidogo ya kuwahoji matokeo yake wakawa hawaeleweki mwisho kitu chenyewe kikarudi mahala pa kwanza kilipotoka...kwa tukio lile hata wife alijua kuwa havikua vitu vya kawaida..sijaeleza kwa mfuatano mzuri kwasababu binafsi ila hizi vitu vipo ila kubahatika kuvijua ni bahati tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo shem wako aliibatua hiyo rupia na ndiyo maana ilimfanyia hayo ya kufilisika.Shemeji yangu amewah kupata rupia akaenda huko alivo rudi kanunua haice na nyumba mbeya mjini na vitu vingi sana baada ya miaka 3 alifilisika na aliuza vyote. mwaka 2014 alikuja mzungu hapa Ludewa antafta pesa za zamani sio kila pesa ya zaman.
Kuibatua rupia ndo nnHuyo shem wako aliibatua hiyo rupia na ndiyo maana ilimfanyia hayo ya kufilisika.
Ukianza kusoma Page ya 20 kwa sehemu nilizo post maelezo yangu utaona nimezungumzia kwa kiasi hapo.Kuibatua rupia ndo nn
Bado una dili na dhahabuKanisa la mbozi mission na hospital yake
3.Sehem nyingine ni lilipokuwa soko kuu la mbeya pale mbele ya benki ya NMB mbalizi road ambalo liliungua na linatarajiwa kujengwa soon,guess mkandarasi aliyeshinda tenda ya kujenga pale ni kutoka inchi gani? Makampuni makubwa ma5 yaliomba ,moja la israeli,jingine la austaria,jingine la ujerumani na mengine ya wachina! Wajeruman wameshinda tenda wataanza ujenzi any time baada ya bunge hili la bajeti i guess.
3.Sehem nyingine utashangaa pale wajerumani walipokwenda kujenga matenki makubwa ya mradi wa maji ambao wameudhamini wenyewe kwa karibu 90% na waliutoa maalumu kwa mkoa wa mbeya tu! Ambao hauna shida sana ya maji ukilinganisha na mikoa ya kati na kusini mwa tz! Mradi huo utamaliza tatizo la maji mby kwa miaka 20! Ijayo imean hadi 2032! PALE UYOLE WALIPOJENGA HAYO MATENKI YAO YA MAJI PALIKUWA NA MASANDUKU YAO!
MRADI HUU AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA JK KAUZINDUA WIKI HII HII KAMA SIKOSEI!
Awamu ya pili ya huu mradi ni kupeleka bomba la maji hadi tunduma umbali wa km 103! Ili wapitie na sehem zingine !
4. LAKE NGOSI TUKUYU MBY!
Zipo sehem kibao nikianza kuwatajia hapa sitazimaliza so tukirudi kwenye mada nikwamba kweli rupia ya mjerumani inamambo tatizo ni namna ya kuipata coz sehem zote ilizofichwa wajerumani walikuwa wanafanya makafara ya watu kuanzia 10 na kuendelea ambao hubaki hapo kama majini kulinda ila wao wanavyokuwa wanakuja kuchukua huwa kuna maneno flani huyatamka na hayo madudu hutambua mwenye mali kaja either mtoto au mjukuu wake! So huwa hayasumbua tofaut na mswahl ukienda pale na hii ki2 ikapelekea wengi kwenda kwa waganga ambako hupewa masharti ya kutafuta viungo vya binadamu hasa albino!
Nadhan mkuu umenielewa kama unamaswali zaidi ni pm namba yako ntakujuza zaid
source: mimi mwenyewe ninafanya kazi za uchimbaji madini hasa dhahabu nipo matundas chunya na pia ni graduate ktk fani ya mining enggrng UDSM
Ndio Ila sio hizo za mjerumaniBado una dili na dhahabu
Yap Wana vitu wanatafuta sio bureHawa wazungu waliokuja kuwekeza kwenye miradi ya mashamba sio bure, mtu atoke kwao aje alime parachichi tena milimani? Hawa si wanagema mercury
Sarafu hizo zilitengenezwa mnamo 1916 pale Tabora kwenye karakana ya reli ya Kijerumani. Maana wakati ule Dar es Salaam (makao makuu ya koloni) ilivamiwa tayari na Waingereza. Jeshi la Kijerumani (lililokuwa hasa jeshi la Waafrika chini ya maafisa Wajerumani) liliendelea kupigana na Waingereza (walioingia kutoka upande wa Kenya na Malawi) na Wabelgiji (walioingia kutoka Kongo); viongozi walihitaji pesa ya kulipa askari ambao walikuwa na wasiwasi kuhusu noti za karatasi. Kwa jumla idadi ya sarafu zilizitengenezwa ni elfu kadhaa. Usitegemee kwamba akiba kubwa zinapatikana bado. Maana zilihitajika kulipa askari Waafrika na Wajerumani lakini baada ya muda mfupi kazi ilikwisha kwa sababu Wabelgiji walivamia pia Tabora.SOMA HII:
The Balson Holdings Family Trust owns two type "B" 15 Rupien pieces - displayed below.This coin below was purchased by the Balson Holdings Family Trust from Heritage Coins in June 2005 (Item 13154) they noted: "lustrous AU and about as nice as we have seen one of these pieces". This piece is about as good as the "Tabora Pound", under siege conditions, gets. Value over US$4,000.
This coin below, almost UNC for the series, is owned by the Balson Holdings Family Trust. It reflects the deterioration of the dies over time - in particular on the side of the elephant - see rim bottom right area and the rim bordering the eagle at 6 and 9 o'clock. Value over US$3,000.
Hakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.MAKOSHNELI mkuu mimi pia naishi hapa jijini mbeya uliyoyaeleza mengi nayajua so mfano bwana Lena, soko la uhindini pia kuna mti kwa babu yangu inasemekana kuna rupia maeneo hayo kikweli hata tukienda kesho ilo eneo wamejaa nyuki na hawajawahi kuhama.
Peleleza vizuriHakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.
Mecury inakazigani kwani?Hawa wazungu waliokuja kuwekeza kwenye miradi ya mashamba sio bure, mtu atoke kwao aje alime parachichi tena milimani? Hawa si wanagema mercury
Aise bro nimekuelewa nilikuwa sijui chochote najivunia kuwa member was JFRupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.
Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Mecury inakazigani kwani?
Rungwe mission iliasisiwa na kina nani.Nani Aliyeleta Moravian MbeyaHakika hakuna rupia zilizofichwa Mbeya. Maana mji wa Mbeya ulianzishwa na Waingereza baad ya vita, hapakuwa na mji wakati wa Wajerumani. Makao makuu yao yalikuwa Tukuyu (waliyoita Neu-Langenburg); hasa pale Masoko karibu na Tukuyu kulikuwa na kambi la jeshi na wakati wa kukaribia kwa Waingereza walitupa akiba ya pesa kwenye ziwa la Masoko; sijui kama watoto bado wanachukua sarafu za Kijerumani kwenye maji lakini pesa hiyi ilikuwa hasa akiba ya senti zao zilizoitwa Heller.