Tetesi: Rungwe Kugawanywa tena, jimbo moja kuongezeka

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,808
2,911
Kama ilivyo nakujaga na info za kutokea kule mkoani kwetu Mbeya. Kuna taarifa nyeti toka kwa watoa hizi taarifa kuwa Jimbo La Rungwe litagawanywa mara mbili.

Kumbuka miaka michache tulikuwa na Rungwe Mashariki na Rungwe Magharibi ikavunjwa, na 2015 tukaletewa Rungwe ambayo Sauli Amon ndio mbunge kwa sasa, na Busokelo kwa Mwakibete kwa sasa hili jimbo analoongoza Sauli Amon litagawanywa na kuwa majimbo mawili yaani Rungwe na jimbo la Ukukwe.

Iko hivii jimbo la Ukukwe litaanzia Kata zote za tukuyu mpaka ikuti mpka huku ndagha.Na jimbo lingine litakuwa na kata za Masoko,Masukulu,Suma, Mpuguso kisondela na makao yao yatakuwa ushirika pale.

Lengo ni kumleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni naibu Spika aje agombee huko.

Kama mnakumbuka miezi ya August na September kulikuwa na Kongamano la ngoma za Kinyakyusa tunaitaga "Mpalano" kwetu.

Basi hilo ndio lilikuwa lengo la kumtangaza zaidi Dr. Tulia asije akawa mgeni kwenye macho ya watu.

Namaliza hivii... Mtanikumbuka kwa haya maneno.

Friday Malafyale gwa kukajaaa.
 
Mbona mwenye nchi yake alishakataa ugawanywaji wa mikoa, wilaya na majimbo? Haya mambo ni ya kizamani sana kama wakiingia kwenye uchaguzi na huyo mlengwa akishindwa itakuwaje? Ila ngoja tusubiri manaake lisemwalo lipo.
 
Napita tu, lakin nahisi hilo jimbo litakuwa lipo chini ya ccm. Ingekuwa upinzani wala wasinge hangaika kulipunguza.
 
Wanatuongezea tu ghalama.mbona Kyela kuna jumbo moja tu?kwanini wagawanye hili wakati ukubwa kwa eneo ni jimbo la kyela!?Mh tulia jaribu kuwaeleza viongozi wako uhalisia Wa pande hizo.
 
Hapo ndipo utakapoona tofauti ya CCM na vyama vingine, wakati CCM wanaanza mikakati leo ya 2020 kuna watu wanasubiri kubadili gia angani miezi sita kabla ya uchaguzi.
 
Leo kuna mtu kakulalia?? Mbona unachangia uharo?? Kwani CCM ndio inagawa majimbo?? Kama CCM inagawa majimbo basi ni kweli Tume ya uchaguzi ni CCM kama inavyodaiwa huwezi kuwa na akili za darasa la kwanza B kama hivi ndg
 
Wanatuongezea tu ghalama.mbona Kyela kuna jumbo moja tu?kwanini wagawanye hili wakati ukubwa kwa eneo ni jimbo la kyela!?Mh tulia jaribu kuwaeleza viongozi wako uhalisia Wa pande hizo.
Kyela hata 2015 Ilibidi igawanywe lkn Mwakyembe akaweka figisu aisee
 
Kama ilivyo nakujaga na info za kutokea kule mkoani kwetu Mbeya. Kuna taarifa nyeti toka kwa watoa hizi taarifa kuwa Jimbo La Rungwe litagawanywa mara mbili.

Kumbuka miaka michache tulikuwa na Rungwe Mashariki na Rungwe Magharibi ikavunjwa, na 2015 tukaletewa Rungwe ambayo Sauli Amon ndio mbunge kwa sasa, na Busokelo kwa Mwakibete kwa sasa hili jimbo analoongoza Sauli Amon litagawanywa na kuwa majimbo mawili yaani Rungwe na jimbo la Ukukwe.

Iko hivii jimbo la Ukukwe litaanzia Kata zote za tukuyu mpaka ikuti mpka huku ndagha.Na jimbo lingine litakuwa na kata za Masoko,Masukulu,Suma, Mpuguso kisondela na makao yao yatakuwa ushirika pale.

Lengo ni kumleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni naibu Spika aje agombee huko.

Kama mnakumbuka miezi ya August na September kulikuwa na Kongamano la ngoma za Kinyakyusa tunaitaga "Mpalano" kwetu.

Basi hilo ndio lilikuwa lengo la kumtangaza zaidi Dr. Tulia asije akawa mgeni kwenye macho ya watu.

Namaliza hivii... Mtanikumbuka kwa haya maneno.

Friday Malafyale gwa kukajaaa.
Wapi Kasesera
 
Maendeleo kwanza MTU baadae.Afadhali wamuweke Hilda Ngoye ila Dr.ajiandae kuendana na tamaduni za kule.manake anakiswanglishi utafikiri akuzaliwa Kule.
 
Back
Top Bottom