Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 700
Wapendwa, naandaa kuunda makala kuhusu wilaya mpya ya Busekelo katika Wikipedia ya Kiswahili. Siwezi kupata habari ni kata zipi za Rungwe zilizopelekwa Busekelo. Naomba wenyeji msaidie!
Katika orodha ya sensa ya 2012 Rungwe ilikuwa na kata zifuatazo:
Bagamoyo
Bujela
Bulyaga
Ibighi
Ikama
Ikuti
Ilima
Isange
Isongole
Itete
Kabula
Kambasegela
Kandete
Kawetele
Kikole
Kinyala
Kisegese
Kisiba
Kisondela
Kiwira
Kyimo
Lufilyo
Lufingo
Lupata
Luteba
Lwangwa
Makandana
Malindo
Masebe
Masoko
Masukulu
Mpombo
Mpuguso
Msasani
Nkunga
Suma
Swaya
Nani anajua ni kata zipi zinazounda sasa Wilaya ya Busekelo? (kufuatana na tovuti ya wilaya ni kata 11!)
Katika orodha ya sensa ya 2012 Rungwe ilikuwa na kata zifuatazo:
Bagamoyo
Bujela
Bulyaga
Ibighi
Ikama
Ikuti
Ilima
Isange
Isongole
Itete
Kabula
Kambasegela
Kandete
Kawetele
Kikole
Kinyala
Kisegese
Kisiba
Kisondela
Kiwira
Kyimo
Lufilyo
Lufingo
Lupata
Luteba
Lwangwa
Makandana
Malindo
Masebe
Masoko
Masukulu
Mpombo
Mpuguso
Msasani
Nkunga
Suma
Swaya
Nani anajua ni kata zipi zinazounda sasa Wilaya ya Busekelo? (kufuatana na tovuti ya wilaya ni kata 11!)