Rumours...

Aisee.. katoka kwenye football demu kaangukia movies
 
Hahahahahha....ni kwel asee,ila ronaldo hana chakupoteza maana kashachungulia uchi sana
 
irina wants more muscular guy!!!??
 
irina wants more muscular guy!!!??

No, huyo kaona hiyo ndio njia ya kuingia kwenye movie carrier, mademu wengi wanakwenda Holliwood kwa kutumia papuchi.
 
Mtu na MUKIA wake, wewe Mudhungu anza tu kuhesabu maumivu, maana watakutokea BROTHER wa kila Sampuli.

Hapa Wazee wa Mikufu na Bling Bling zikiwa zina -SPIN na magari ya bei mbaya, bado hawajaanza.

 
tatizo CR ni mbinafsi sana yule dogo...

uduanzi huo ndio umesababisha hadi leo mwanaye hamjui mama yake...
 
Hapa CR7 atadata maana njemba la Hollywood hana muda wa kujiangalia kwenye kioo Zaidi ya kuchezea papuchi ya Toto tamu ... Demu sasa atakuwa anafurahia misuli ya kiume ... no more kugombani Dressing Table ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…