Mkuu asante kwa kutupa ufafanuzi. inaonekana unafahamu sheria vizuri. Hebu tutolee dondoo kidogo ya hayo makosa na je ni nani ameyafanya au kuyasababisha?
Hayo makosa ni ya waliyoandaa rufaa ya Lema.Ndiyo maana nikatoa msisitizo kuwa,mawakili wa Lema wajitahidi sana kutorudia makosa mengine ambayo yanaweza kusababisha mapingamizi mengine na hivyo kuchelewesha rufaa kusikilizwa.