Hello Chitchat!
Nikiwa kama Mwenyekiti wa mahusiano,ninapenda kuwajulisha kuwa ndoa ya nitonye na Arabela nimeipitisha rasmi kuanzia leo tarehe 14 Sep 2013 hivyo ninawatakia heri katika maisha yao mapya ya ndoa!
Siruhusu tena pingamizi kwa ndoa hii!
Pia namuamuru Bishanga aniandalie List ya couple zote zilizojionyesha wazi na tuzipitie kuona kama zinafaa au bado ziko kwenye probation!
Kila member ahakikishe anapitiwa na hili zoezi ili kuepuka vurugu za kugombea mke au mume! zubedayo_mchuzi naomba uje tumalize ule mpango wetu wa kumchukua mimi49
N.B: Hakuna ndoa wa wake wawili au wanaume wawili..yan hakuna u-mswati!
Nawasilisha! I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano!
Arabela alishakata tamaa watu wanaogopa kuandikisha couple zao watafumaniana majanga tuu ladydoctor anamganda Chimbuvu kakataliwa lady furahia bado anazungushwa na MentorJudgement anaishia kupata mawasiliano ya cm tu
Nyie mnacheza kweli....mnataka kuturudisha Misri?
Watu tuko Digitali long time....kusikia nimeachia hiki kiti ni ndoto....sahauni na msijaribu kunigusa tena hasa wewe Filipo maana naiheshimu sana Ndoa yako