Ruksa kuoa wanawake hata kumi

Ahh..huyo mtoto namjua... hata hapa mtaani tuamuita bujibuji kwasababu mzigo uko ndembendembe! Jitahidi unaweza kuopoa mzigo..
 
Sasa uislamu naona umeanza kukubalika taratiibu, safi sana insha-allah tutafika tu.


selfish
 
Dini zote mkuu ni sheria imesainiwa leo na rais uhuru
Kenya raha kweli sasa hv
Usiwapotoshe. Sheria hii ni kwa wale wa ndoa za ki mila. Ila kwa wa islam au wakristo wataendelea kufuata sheria za dini yao. Ila wewe kama ni muislam au mkristo na unataka kuoa wake kumi hautokatazwa kisheria za nchi bali utakua umejitoa mwenyewe kwenye dini yako!
 
Sheria za tanzania hazikazi kuoa hata mia...
Muhimu ukifunga bomani andika ya wake wengi..
 
Napenda sanaa group sex, ie threesome napenda sheria hiyo ije bongo nioe wake wawili halafu wote nishee nao same bed.
 
Eee mnachezea serekali tatu tatu kwa mzunguko

ushawaihi kusoma vile vibao vikogo barabarani
mara mgnga toka kongo,mara nigeria??
ushawahi na ukachukua namba?? si mnawapondaga ooh mara mbona kila mtu anasema anajua dawa za nguvu za kiume mara ooh sijui nini

sasa jaribu tu hata serikali mbili alafu mtawala mmoja utaona,,utatoka kuanzia tegeta mpaka vingunguti hukioni kibao hata kimoja
 

Hahaha huu ubishi wa kuridhi inabidi nikutafute binafsi nipige na wewe show moja ili uje na majibu.
 
Hahaha huu ubishi wa kuridhi inabidi nikutafute binafsi nipige na wewe show moja ili uje na majibu.

hahhahahahah niko njia kuu sitaki CHEPUKO LAKO

ila utasimamia show au
 
Natayarisha muswada tayari kuhupeleka bungeni. Naombeni support yenu tz wanaume.
 
Hili Ndio Tatizo La Makafir Kama Kenyatta.Aliyemuumba Alishasema Ni 1-4,yy Anajifanya Kamzidi Akil Aliyemfanya Apumue Na Avute Hewa Bila Kulipia!Halafu Eti Nawe Unashabikia Ushetani?
 
Mkuu hata ikipitishwa nchini mwetu majanga yatazidi kuwepo, tena bora ibaki kama ilivyo kuliko yakija mabadiliko, kwa jinsi watanzania tunavyopenda ngono nina uhakika maambukizi ya gonjwa la ukimwi yataongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…