Ruksa binti kuolewa na Mjeshi, sababu........

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,952
937
katika maisha yangu niliapa mjeshi kuanzia magereza, taja mwenyewe hadi Jeiwi, kamwe hawataingia kwenye maisha yangu au mwanangu, LAKINI kwa uvumilivu wa mr. Prez Jah Kaya anavyotawala, nimejiuliza maswali mengi alienda jeshini kama kupita? Alipitia kweli yale mautamaduni yao? Mbona mvumilivu kuliko raia wa kawaida. Kama kuna wajeshi wa hivyo.....RUKSA binti kuchukua Mjeshi.

Aiseh! Duniani hatufanani na tutamkumbuka. Ngoja 2016
.
 
Umejuaje kama ni mvumilivu? Nataka nilijue hili kwa kuwa ndio sababu pekee uliyoitumia kujenga hoja yako.
 
1.Wapo wanajesh wavumilivu na wastarabu ambao hadi leo wake zao wanajivunia kuolewa na hao wanajeshi.Mtu akiwa mwanajesh haimaanishi anapoteza utu na hisia
2.Tukija kwa huyo Mr naamin ungempa mtoto wako aolewe naye au angekuoa ungefalijika na hela tu ila ingebid avumilie mengi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom