Andika barua ambatanisha na barua ya udahili uliyopata chuo,pia hakikisha upo kwenye utaratibu wa watumishi wa halmashaur kwenda masomoni kwa mwaka husikaMimi ni mwalimu wa primary nina mwaka wa tatu tangu nianze kazi
Nimeomba kusoma diploma ya ICT. Naomba kufahamu kutoka mwa wazoefu au wanaofahamu kama nitapata RUHUSA kazini au la
Umeajiriwa kufundisha masomo gani?Mimi ni mwalimu wa primary nina mwaka wa tatu tangu nianze kazi
Nimeomba kusoma diploma ya ICT. Naomba kufahamu kutoka kwa wazoefu au wanaofahamu kama nitapata RUHUSA kazini au la
😮😮😮😮Andika barua ambatanisha na barua ya udahili uliyopata chuo,pia hakikisha upo kwenye utaratibu wa watumishi wa halmashaur kwenda masomoni kwa mwaka husika
Pia tegemea kukutana na vigingi kwan watakuambia uombe likizo bila malipo maana unachokwenda kusoma siyo masomo ya kufundishia sekondar hapa tz