Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,599
Ruge asipoteze muda kujibizana na huyo shugamami, Clouds ni Radio binafsi kama hawajapiga nyimbo zake tatizo nini, Hata basha wake Gadner alipokuwa pale kuna nyimbo nyingi za watu alikuwa hapigi, Hata Radio One huwa hawamtangazi Yusuph Manji pamoja na kuwa Mwenyekiti wa Yanga lakini jamaa hajalalamika kwa kuwa anajua hicho ni chombo binafsi kina haki ya kuchagua nyimbo na wasanii wapi wawapigie Promo bila ya kufanya Jinai, Jide kafika Omega
Jide Songa mbele wala usiogope hao kupe wa clouds walionenepeana kwa jasho la wasanii. Watanzania wanakuelewa vizuri sana na wanakuunga mkono.
Mr. Two Sugu alishaliona hilo siku nyingi lakini kuna baadhi ya watu hawakumuelewa lakini sasa wamemuelewa.
ngoja tuone hii movie
Nasikia Jaydee ni Mtoto wa Wassira.
Ni babake mdogo, ambaye ni baba mmoja na baba Jide.
Lazima ili swala tuliangalie kwa makini na sikutuma post pasipo kufikiria hili swala la jaydee alijaanzia kwake kulalamika wamepita wasanii wengi wamelalamika bila kusahau ant-virus project iliyoanzishwa na Sugu kwamba ilikuwa nalengo gani haya makundi mangapi yamekufa na wasanii wangapi wamedhulumiwa na clouds iweje leo eti tunamshangaa komando jaydee nimefurahishwa xana na hilo.