TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

View attachment 1037665Hakuna aliyetengwa. Ukiangalia vizuri huyu mkubwa anajitegemea na ana maamuzi fulani kuhusu msiba wa baba yake . Ila hao wadogo mpaka usimamizi wa hali ya juu toka kwa mama zao. Maana mashangazi na baba wadogo/wakubwa pia wanafamilia zao ila hapo akili zipo kwa ndugu yao aliyewaacha hivyo hawataweza kuangalia hao watoto wadogo huku wakifatilia shughuli za msiba.
Hao wadogo mbona mm sijawaona jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngojea tuone finishing ya kaburi ndio bei juu kama watakuwa wametengeneza Mable yenye picha yake. Ile Mable ikiwekwa picha na maandishi Yale ya kwenye msalaba dob na dod na mistari ya Bible si chini ya million 1.show ya juu ya kaburi wakisema wajenge kwa Mable badala ya tiles Ina weza kuisha million 3.na million moja unaweka kuchimba na kujengea kaburi kuanzia chini hadi zege la juu..... Kinondoni sasa hiv kuzika pale si chini ya 2.5m kaburi standard hapo bado amjafinishi kwa juuu hiyo ni mmejenga kama baraza tu. Ujenz wa makaburi ukitaka liwe zuri ni gharama ila ukitaka la kawaida aizidi laki 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanapomzikia ni kijijini sio kinondoni ambapo ni mjini..sidhani kama watamalizia kwa kuweka marble maana ukilijengea kaburi mapema linaanza kutoa nyufa
 
Sasa mkuu tufanye hesabu za haraka haraka mfano tofali 2000 Tshs x 150 = 300,000, Cement 22,000 Tshs x 10 = 220,000, Tiles box 25,000 x 20 = 500,000, Maji 100,000Tshs, Fundi 250,000 vibarua 30,000 × 4 = 120,000 kutengeneza zege la kusakafia juu i.e 250,000 yani hapo jumla ni 1,390,000 Tshs pia unatakiwa ujue huko ni kijijini vitu sio gharama kubwa hata useme uzizidishe gharama hizi mara mbili milioni 3 haifiki hio milioni nne inakuja vipi?
Tofali 2000 how ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliandika hichi

Extrovert Jordan said:
Mimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA

Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto

MSAADA WAKUU
Bageshi umeona nini kilichoandikwa kwenye hiyo post ya nyeto?
 
Uliandika hichi

Extrovert Jordan said:
Mimi ni muhanga wa nyeto toka mwaka 2011 non stop sasa imeanza kuniumiza na nashindwa kuiacha mwanamke namridhisha vilivyo ila napomaliza maumivu yamgongo, shingo na kichwa hunianza
NIKIAMKA VIZURI NAPIGA KWA SIKU HATA MARA 6 AU 7 NAJIZUIA KUSHIKA SIM AU KUTAZAMA VIPINDI VISIVYOFAA NIMESHINDWA

Kwa wiki naweza kuacha kupiga siku moja pekee au nikapiga wiki zote ndani yamwezi ninaumiasana.
Muda mwingine hata nikiwa na mwanamke tukimaliza mchezo akisinzia tu nashika sim napiga nyeto

MSAADA WAKUU
Sasa nikusaidie nini kiamba mkumba?
 
Khaligraph Jordan
JF-Expert Member
Dec 1, 2017
#1
Wakuu ni muda sasa kama miaka miwili natokwa mkojo wa njano nikitumia maji mengi hali hiyo hupotea na pindi naporudia kupinga punyeto hali hiyo hujirudia

Maswal
(1) ni nini madhara ya kutokwa na mkojo kwa muda mrefu?

(2) kuna uhusiano wowote wa punyeto na kutokwa mkojo wa njano kama mgonjwa wa UTI

(3) Ninapokojoa simalizi mkojo wote

NNA MIAKA 6 KWENYE ULIMWENGU WA PUNYETO
Sasa nikusaidie nini kiamba mkumba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom